Mmmmmmhmn aiseee. Why sasa alikuwa anafanya hivyo?!Pole bwana mdogo,ila jinsia ya marehemu ilikuwa na utata sana inasemekana alikuwa ni dume lakini yeye anajirefer kama mwanamke,na hata uandishi wake watu tulikuwa tunajua ni wa kike
Hapo unajaribu kutetea upuuzi gani?! Yaani mtu ni mwanaume halafu ujitambulishe mwanamke kwa mantiki na malengo gani labda...?!Hivi mnakwama wapi?
Ids mnazotumia ni majina yenu halisi?
Mbona rahisi tu, kila social media handle ina tabia ,mtazamo, falsafa ,style ya uandiahi na identity inayotaka kutambulika nayo.
warumi alichagua identity ya kike kama anavyofanya Joti na wengine.
Ili kufikisha ujumbe alitaka kwa Id yake.
Hebu imagine aina ile ya uandishi angejitambulisha kama mwanaume ?
Ndo sababu wengine walimwita shoga wakati fulani.
He was a man, kujiita dada ilikuwa ndo identity aliyochagua ili iendane na style ya uandishi wake.
Ni ufafanuzi rahisi sana ukielewa maana ya FAKE ID.
"FAKE IDENTITY"
Punguza hasira sio mimi niliyekusababishia matatizo uliyonayo.Hapo unajaribu kutetea upuuzi gani?! Yaani mtu ni mwanaume halafu ujitambulishe mwanamke kwa mantiki na malengo gani labda.....?!
Nadhani kuna muda tujifunze kusimamia misingi, sio kuongea lolote linalotujia akilini wakati huo ili kufurahisha watu baadhi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] oya acha kuleta utani bado tupo kwenye majonzi ya msiba wa mpendwa wetu warumi. R.I.PPunguza hasira sio mimi niliyekusababishia matatizo uliyonayo.
Wapenda ubuyu ndio tulimfanya awe hivo, mwanzo alijitambulisha kabisa yeye ni kijana na anapenda umbea basi akawa anasakamwa mwanaume gani unapenda umbea wewe ni mwanamke basi nae akaswitch ili kuenda sawa na wambea 😁Mmmmmmhmn aiseee. Why sasa alikuwa anafanya hivyo?!
Kwakuwa marehemu hawezi kuongea labda ili swali tulielekeze kwa Joti.Mmmmmmhmn aiseee. Why sasa alikuwa anafanya hivyo?!
Kwahiyo kuna kikundi kinaandaa sinema afu kinakula rambirambi humuIn my view aliepo gar atupe mrejesho yawezekana tumepigwa changalamacho hapo ili tuchangie rambirambi mjinga mmoja akapige serengeti lite ya baridi maana naona marehemu mwenyewe alikuwa mswahili mswahili anaweza hata kutuigizia humu AKAJA NA IG mpya
Hakika kabisaaah yaan shangazi, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Kuna umbea wa birthday ya bob risky, kuna msiba wa baba yake Tiwa savage, yaani msiba wanatunzana madolari hatariiiii na live band msiba huo ni zaidi ya sherehe ya Krish wa Uwoya.
Tupo doro hatariiiii hapo ndo tunapokukumbuka binamu warumi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilijua tyuuh nitatajwa hapa. Na, nimerudi sasa, nlikua maternity leave.
FANYENI KAZI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilijua tyuuh nitatajwa hapa. Na, nimerudi sasa, nlikua maternity leave.
poleni sana kufiwa na mmbea mwenzenuWarumi pumzika kwa amani.
Hakika wambea tunakukumbuka.
Nani kakuambia hatufanyi kazi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]FANYENI KAZI
Naona umeachiwa kwenye kifungo sasa yale mazuri uliyojifunza nje huko ndo uje nayo humu, vinginenyo utapigwa ban ya maisha, ni hayo tu.Nani kakuambia hatufanyi kazi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani ban ya maisha n sh ngapi? Au kufungua I'd mpya ni bei gan? Nipishe huko nawee lol.Naona umeachiwa kwenye kifungo sasa yale mazuri uliyojifunza nje huko ndo uje nayo humu, vinginenyo utapigwa ban ya maisha, ni hayo tu.
Pole sana.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] binamu nimeumia sana tena mno, nlishangaa ulikua kimya sana, af no yako kila nikipiga ilikua haipokelew, kumbe ulikua mgonjwa had umauti.
Rest easy cuzoooooh, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Ahsanteeh shangaz, na nimeku mic san wee.Pole sana.