Hivi mnakwama wapi?
Ids mnazotumia ni majina yenu halisi?
Mbona rahisi tu, kila social media handle ina tabia ,mtazamo, falsafa ,style ya uandiahi na identity inayotaka kutambulika nayo.
warumi alichagua identity ya kike kama anavyofanya Joti na wengine.
Ili kufikisha ujumbe alitaka kwa Id yake.
Hebu imagine aina ile ya uandishi angejitambulisha kama mwanaume ?
Ndo sababu wengine walimwita shoga wakati fulani.
He was a man, kujiita dada ilikuwa ndo identity aliyochagua ili iendane na style ya uandishi wake.
Ni ufafanuzi rahisi sana ukielewa maana ya FAKE ID.
"FAKE IDENTITY"