Tetesi: Warumi nafukutwa na umbea leo

Tetesi: Warumi nafukutwa na umbea leo

Pole bwana mdogo,ila jinsia ya marehemu ilikuwa na utata sana inasemekana alikuwa ni dume lakini yeye anajirefer kama mwanamke,na hata uandishi wake watu tulikuwa tunajua ni wa kike
Mmmmmmhmn aiseee. Why sasa alikuwa anafanya hivyo?!
 
Hivi mnakwama wapi?

Ids mnazotumia ni majina yenu halisi?

Mbona rahisi tu, kila social media handle ina tabia ,mtazamo, falsafa ,style ya uandiahi na identity inayotaka kutambulika nayo.

warumi alichagua identity ya kike kama anavyofanya Joti na wengine.
Ili kufikisha ujumbe alitaka kwa Id yake.

Hebu imagine aina ile ya uandishi angejitambulisha kama mwanaume ?
Ndo sababu wengine walimwita shoga wakati fulani.

He was a man, kujiita dada ilikuwa ndo identity aliyochagua ili iendane na style ya uandishi wake.

Ni ufafanuzi rahisi sana ukielewa maana ya FAKE ID.
"FAKE IDENTITY"
Hapo unajaribu kutetea upuuzi gani?! Yaani mtu ni mwanaume halafu ujitambulishe mwanamke kwa mantiki na malengo gani labda...?!

Nadhani kuna muda tujifunze kusimamia misingi, sio kuongea lolote linalotujia akilini wakati huo ili kufurahisha watu baadhi.
 
Hapo unajaribu kutetea upuuzi gani?! Yaani mtu ni mwanaume halafu ujitambulishe mwanamke kwa mantiki na malengo gani labda.....?!

Nadhani kuna muda tujifunze kusimamia misingi, sio kuongea lolote linalotujia akilini wakati huo ili kufurahisha watu baadhi.
Punguza hasira sio mimi niliyekusababishia matatizo uliyonayo.
 
In my view aliepo gar atupe mrejesho yawezekana tumepigwa changalamacho hapo ili tuchangie rambirambi mjinga mmoja akapige serengeti lite ya baridi maana naona marehemu mwenyewe alikuwa mswahili mswahili anaweza hata kutuigizia humu AKAJA NA IG mpya
Kwahiyo kuna kikundi kinaandaa sinema afu kinakula rambirambi humu
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] binamu nimeumia sana tena mno, nlishangaa ulikua kimya sana, af no yako kila nikipiga ilikua haipokelew, kumbe ulikua mgonjwa had umauti.

Rest easy cuzoooooh, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kuna umbea wa birthday ya bob risky, kuna msiba wa baba yake Tiwa savage, yaani msiba wanatunzana madolari hatariiiii na live band msiba huo ni zaidi ya sherehe ya Krish wa Uwoya.
Tupo doro hatariiiii hapo ndo tunapokukumbuka binamu warumi
Hakika kabisaaah yaan shangazi, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Nani kakuambia hatufanyi kazi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona umeachiwa kwenye kifungo sasa yale mazuri uliyojifunza nje huko ndo uje nayo humu, vinginenyo utapigwa ban ya maisha, ni hayo tu.
 
Naona umeachiwa kwenye kifungo sasa yale mazuri uliyojifunza nje huko ndo uje nayo humu, vinginenyo utapigwa ban ya maisha, ni hayo tu.
Kwani ban ya maisha n sh ngapi? Au kufungua I'd mpya ni bei gan? Nipishe huko nawee lol.
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] binamu nimeumia sana tena mno, nlishangaa ulikua kimya sana, af no yako kila nikipiga ilikua haipokelew, kumbe ulikua mgonjwa had umauti.

Rest easy cuzoooooh, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Pole sana.
 
Back
Top Bottom