Tetesi: Warumi nafukutwa na umbea leo

Si uwe unatu-inbox kama hujaokota tunda hapa duniani?

Njoo jiji la samaki watamu (SATO) tuendelee kuishi pamoja

ila hua natoka 6:30am na kurudi 21:00pm

Are we together?
 
Huyo vinjabei mbona anakuja Kasi sana mjini
 
Hahahahah mimba ya pfunk [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
warumi Lulu amekosa kitchen party, ameolewa ndoa kama ya watu wazima waliokwisha zaa sasa wanahalalisha tu. Tulitegemea harusi ya Jumamosi baada ya send off.
Sasa kitchen party ya Nini
Lulu kakaa na majizzo miaka mingi
 
Hivi hizo habari za watu huwa mnazijuaje?

Au huwa hamzijui bali huwa mnasadiki lakini hamjui tofauti kati ya kujua na kusadiki?
Kwenye vijiwe vya kahawa .

Saloon za wadada .

Bongo habari zako zitajulikana tu

Kama vipi we nyani ngabu reveal identify yako soon tutajua Hadi huko Kati Jana ulimkaza Nani[emoji1787][emoji1787]?

Bongo noma
 
Sasa lawyer unamuonaje majani? majani ni kichwa kwenye muziki tu, huku kwingine dishi
lilishayumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…