cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hakuna urafiki kati ya tajiri na mpambanaji whozu atakua ana play role ya chawa kwa huo urafiki [emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hakuna urafiki kati ya tajiri na mpambanaji whozu atakua ana play role ya chawa kwa huo urafiki [emoji16]
AiseeKwanza kabisa hongera sana Lulu kwa kuolewa, hapa wambea umetukomesha, yan umetuvua nguo Mchana kweupe, mxieew mbwa wewe, shoga umeokota embe dodo mjini, jiji gumu hili, Dada ako warumi Nina miaka 43 hata boyfriend sina ....
Secondly,I’m loving this new couple ya mjini , Harmonize na Kajala, what a perfect match , Harmonize kweli kapenda, kafa kaoza ila sijui kwa nini Warumi mie nahis hili penz it will end in premium tears, I doubt Kajala ako na the same feeling kama Harmonize , ila napenda tu wamependezeana and the love looks natural , ingawa kuna Tetesi Kajala kamroga sana mmakonde wa watu
Halafu nasikia Tunda ana mimba ya vunja bei
Amber lulu nae ana mimba ya p-funk majan
[emoji3][emoji3][emoji3] ila yule mwehu kwa kweli, eti alipoambiwa kuwa majan kamnunulia crown mpya, akavuta [emoji441] na kuropoka kwa sauti, "hii mimba nimepewa na roho mtakatifu, wala simjui huyo mtu wenu, na tusubiri mtoto akizaliwa tuone" nilicheka nusu nizimie.Wadada wa mjini wameamua kuzaa labda watatulia kidogo! Ila ile baby shower ya Amberlulu mbona amechangamka sana anakata mauno hadi watu wanasema hivo viuno mwishowe mtoto achomoke atoke huko tumboni kabla[emoji3][emoji3]
Ohoo kwa mpalange hakufai 🤔 tobaaHuyu akienda labour atafyatua chap chap, ila I think atachagua operation tu huyo maana huko kwa mpalange loh
Yaani eti ndiyo mastar wetu hao akii😀😀[emoji3][emoji3][emoji3] ila yule mwehu kwa kweli, eti alipoambiwa kuwa majan kamnunulia crown mpya, akavuta [emoji441] na kuropoka kwa sauti, "hii mimba nimepewa na roho mtakatifu, wala simjui huyo mtu wenu, na tusubiri mtoto akizaliwa tuone" nilicheka nusu nizimie.
Kisanga alipopita mbele chizi mwenzie Giggy, yaan mambo waliyo yafanya khaaaah hataree tupu lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Puliiiiiiiiz usifananishe BMW na chochote rafiki? Umbea kwangu ni shibeeh na sunnah, ila kwa BMW hapanaah, nipo tayar ku boost [emoji196] ili unihonge hiyo ndinga yako. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Rafiki unapenda umbea kuliko BMW![emoji1][emoji1][emoji1]
Yaan nilishuhudia lile baby shower mwanzo mwisho, mweeeh tumbo kubwa ila matashititi yake ni motroooooooh lol.Yaani eti ndiyo mastar wetu hao akii[emoji3][emoji3]
Very senior jf member anapochangia nyuzi za Malaya kina warumi inaumiza Sana.
Unajuaje??wale wanapesa hawataki shobo za watu unaambiwa sherehe ya kwanza ilifanyka na ya pili itafuata kama hujuiwarumi Lulu amekosa kitchen party, ameolewa ndoa kama ya watu wazima waliokwisha zaa sasa wanahalalisha tu. Tulitegemea harusi ya Jumamosi baada ya send off.
Umesahau ndoa ya lulu imemchoma wema sepetu mbaka hana raha mitandaoni wanamsema anazeeka huku mtoto mdogo lulu kaolewa, ndoa ya lulu kifupi imechoma wengi sana mastaa coz wamezoea vindoa vya kiislam cheap, ndoa za kikristo ni balaa ndio maana fanya utafiti nakupa hiyo ikifungwa ndoa kati ya kiislam au ya kikristo utaona ipi inazungumziwa sana na wasanii wawili wakiwa wote wakristo wanataka kufunga ndoa utaona mapovu yanawatoka sana watu kuliko wakiislam nakupa hiyo fanya utafiti utagundua
Mkuu mimi najua amber rutty ndio ana mimba ya majaniAmber lulu nae ana mimba ya p-funk majan
Hakufai naskia ni gwijiOhoo kwa mpalange hakufai [emoji848] tobaa
Hvi hyo mimba ni ya nani hasa maana kampost baba tofauti, nimpongeze kuamua kuzaa[emoji3][emoji3][emoji3] ila yule mwehu kwa kweli, eti alipoambiwa kuwa majan kamnunulia crown mpya, akavuta [emoji441] na kuropoka kwa sauti, "hii mimba nimepewa na roho mtakatifu, wala simjui huyo mtu wenu, na tusubiri mtoto akizaliwa tuone" nilicheka nusu nizimie.
Kisanga alipopita mbele chizi mwenzie Giggy, yaan mambo waliyo yafanya khaaaah hataree tupu lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣Puliiiiiiiiz usifananishe BMW na chochote rafiki? Umbea kwangu ni shibeeh na sunnah, ila kwa BMW hapanaah, nipo tayar ku boost [emoji196] ili unihonge hiyo ndinga yako. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Miss u rafiki kipendhii.
kunanukiaHuyu akienda labour atafyatua chap chap, ila I think atachagua operation tu huyo maana huko kwa mpalange loh
huyo ndo ndo poa kabla ya kumpelekea moto kwanza unahakikisha mitaa na vitongoji vya Mpalange umepiga deki na kunyonya vilivyo majitaka yote mitaloni ndo shughuli inaanzaHakufai naskia ni gwiji
Alifikiria pwaa pwaaa🤣🤣
Ila whozu alifikiria nini kuimba ule wimbo 😂😂🙌🙌
Hivi mnajuaje kama wanafika kwa mpalange ? Zimekuwa ni habari za kawaida sana , kuanzia mtaani, na mavyouni kama jambo ambalo ni halali tuHuyu akienda labour atafyatua chap chap, ila I think atachagua operation tu huyo maana huko kwa mpalange loh
Ivi mnajuaje kama mtu kwa mpalange hapafai.. ? Siku hizi imekuwa kama halali kabisa watu kula kwa mpalange eeh 😢. Mungu aturehemu watu wakeOhoo kwa mpalange hakufai 🤔 tobaa