Simchukii wema,ila nachukia tu jinsi mashabiki zake wanavyomtetea hata kama akifanya ujinga,eg kudanganya kanunua nyumba ya mil 400 kumbe si kweli, ila simchukii, wema ni kati ya wasichana ninaowakubali kimuonekano.
Ushauri aachane na marafiki ,apige kazi
Nadhani kwa sbabu nafahamiana na baadhi ya mastaa au watu waliokaribu na mastaa so inakua rahisi kupata ubuyu,pia kuwa karibu na mitandao ya kijamii na kufuatilia habari za mastaa.Mkuu sasa unafanyaje kupata ubuyu,na mie nataka nijiunge hio fani,lol
Matured, kitu gan cha kijinga kabisa ushawah kufanya katk maisha yako so far?Hapana
Yes ilishawahi kunitokea, ingawa mi napenda kuandika habari za watu wengine,inapokuja upande wangu huwa ni muoga Sana kuongelewa vibaya, hii imenipelekea kutokua na marafiki kabisa kuepuka maneno.Ushawahi kuwa kwenye mahusiano na ikatokea habari zako sensitive zikawa ubuyu kwa wengine je ulihandle vipi bio hali?
Kama haijakutokea unahisi ikikupata utakuwa katika hali gani?
Wakati najiunga jamii forum, ndoto yangu ilikua nikufahamika , sasa nikawaza nitumie jina gani ambalo litakua la kipekee na la kuvutia, nikajikuta tu najiita warumi,kwa sababu naamini hakuna mtu mwenye jina hilo kwa hapa AfricaKwann ubajiita mrumi
Ha ha mie nilitaka kujua jinsia naona ushatia kufuli kwaheli 😛Haya mashabiki zangu wa ubuyu nipo live now, uliza chochote kuhusu mimi nitakujibu ,kipi nakufuraisha au kukuboa, its a serious Talk, uwarumi tuuache pembeni kidogo, nakaribisha maswali ,maoni na ushauri, haya sasa uwanja.
Note: Suala la jinsia yangu sitalijibu leo.
Mmmmh!! Kamba!!