Warumi: Nipo Live JF now, ask anything about me

Warumi: Nipo Live JF now, ask anything about me

Kweli marafiki na mashabiki maandaz wanampoteza mfano post ya irene uwoya,wema kapanic kaenda comment kwa malkia wa kuchamba kutafuta sympathy, si angeuchuna tu au anatafuta kiki ya kuziba mauzo ya zari GSM kesho?


Simchukii wema,ila nachukia tu jinsi mashabiki zake wanavyomtetea hata kama akifanya ujinga,eg kudanganya kanunua nyumba ya mil 400 kumbe si kweli, ila simchukii, wema ni kati ya wasichana ninaowakubali kimuonekano.

Ushauri aachane na marafiki ,apige kazi
 
Je ungepewa nafasi ya kuwa kiongozi ktk serikali ungependelea kupewa nafasi gani na kwanini?
labda ubunge coz napenda sana kusaidia watu wasiojiweza,kutetea haki za wanyonge
 
Mkuu sasa unafanyaje kupata ubuyu,na mie nataka nijiunge hio fani,lol
Nadhani kwa sbabu nafahamiana na baadhi ya mastaa au watu waliokaribu na mastaa so inakua rahisi kupata ubuyu,pia kuwa karibu na mitandao ya kijamii na kufuatilia habari za mastaa.

Umbea haufundishwi, unatakiwa upende kwanza lol, ila ubunifu muhimu, kuongezw chumvi muhimu
 
Mara ya mwisho ulikuwa unamegwa na yule jamaa mwenye Freeland ya kijani... Bado uko nae au pesa ilipoisha nawe ukasepa? Sikuoni sana pale mtaani
 
Ushawahi kuwa kwenye mahusiano na ikatokea habari zako sensitive zikawa ubuyu kwa wengine je ulihandle vipi bio hali?
Kama haijakutokea unahisi ikikupata utakuwa katika hali gani?
Yes ilishawahi kunitokea, ingawa mi napenda kuandika habari za watu wengine,inapokuja upande wangu huwa ni muoga Sana kuongelewa vibaya, hii imenipelekea kutokua na marafiki kabisa kuepuka maneno.

ikitokea nimepata habari mbaya kunihusu, huwa nalala muda mwingi kupunguza stress then nikiamka nakua poa.
 
Warumi, tufanye wewe Ni mwanaume japo nahisi siyo, wema akikutunuku papuchi utapiga?
 
Kwann ubajiita mrumi
Wakati najiunga jamii forum, ndoto yangu ilikua nikufahamika , sasa nikawaza nitumie jina gani ambalo litakua la kipekee na la kuvutia, nikajikuta tu najiita warumi,kwa sababu naamini hakuna mtu mwenye jina hilo kwa hapa Africa
 
Haya mashabiki zangu wa ubuyu nipo live now, uliza chochote kuhusu mimi nitakujibu ,kipi nakufuraisha au kukuboa, its a serious Talk, uwarumi tuuache pembeni kidogo, nakaribisha maswali ,maoni na ushauri, haya sasa uwanja.

Note: Suala la jinsia yangu sitalijibu leo.
Ha ha mie nilitaka kujua jinsia naona ushatia kufuli kwaheli 😛
 
Warumi!! Lov you!! Uko charming n unasaidia kunifurahisha baada ya misukosuko miingi ya MAKUFULI n serikare yake hii!!

Bila shaka utakuwa ni DEMU wewe si ndiyo!?
 
Back
Top Bottom