Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Kweli marafiki na mashabiki maandaz wanampoteza mfano post ya irene uwoya,wema kapanic kaenda comment kwa malkia wa kuchamba kutafuta sympathy, si angeuchuna tu au anatafuta kiki ya kuziba mauzo ya zari GSM kesho?
Simchukii wema,ila nachukia tu jinsi mashabiki zake wanavyomtetea hata kama akifanya ujinga,eg kudanganya kanunua nyumba ya mil 400 kumbe si kweli, ila simchukii, wema ni kati ya wasichana ninaowakubali kimuonekano.
Ushauri aachane na marafiki ,apige kazi