Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ofcoz iam, ki jf yes i can that, lolUmeanza mambo ya heaven on desert.. Mambo ya kujianzishia Uzi kana kwamba na yeye ni celeb.. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]
Dont take me seriously though..
Nadhani kwa sbabu nafahamiana na baadhi ya mastaa au watu waliokaribu na mastaa so inakua rahisi kupata ubuyu,pia kuwa karibu na mitandao ya kijamii na kufuatilia habari za mastaa.
Umbea haufundishwi, unatakiwa upende kwanza lol, ila ubunifu muhimu, kuongezw chumvi muhimu
zamani alikua jamaa mmoja hivi anaitwa money stunna, nilikua nashindana nae san ku post habar za udaku, na jamaa wengine kama watatu hivi, ila wao walipotea kitambo, kwa sasa sidhani kama nina mpinzani, japokua niliikua kimya kitambo, ila naona bado kiti changu kipo pale paleNani mshindani wako haswa kwa Maswala ya Umbea humu Jukwaani?
Utakuwa ulienda kuwaloga si bure.. Watu wa mwananyamala mnatupa shida sana.. [emoji13] [emoji13] [emoji13] anyway we una origin ya mkoa ganizamani alikua jamaa mmoja hivi anaitwa money stunna, nilikua nashindana nae san ku post habar za udaku, na jamaa wengine kama watatu hivi, ila wao walipotea kitambo, kwa sasa sidhani kama nina mpinzani, japokua niliikua kimya kitambo, ila naona bado kiti changu kipo pale pale
Ningependa kujua ni kwa nini hujawahi kuliwa mtandao huu Pendwa sana!!hapana
ni nyingi ila kwa haraka ni ubuyu wa odama wa bongo movie, ilikua na comments nyingi sana, na nyingine ni ya juzi kuhusu arobaini ya nillan, hizo ni baadhi tu ya thread zilizovunja rekodi kwangu, japokua naamini zipo nyingi sana kule celebrities forum.Ubuyu upi ambao uliuandika na ukapata mapokezi makubwa zaidi?
Kwa nini huwa hutaki jinsia yako ijulikane?
Binafsi najisikia mkosefu sasa kukuuliza jinsia yako!!Pole binamu, ila ni strategies zangu tu,ila kama ni mwana saikolojia mzuri utajua jinsia yangu bila mimi kutaja