Warumi: Nipo Live JF now, ask anything about me

Warumi: Nipo Live JF now, ask anything about me

Nadhani kwa sbabu nafahamiana na baadhi ya mastaa au watu waliokaribu na mastaa so inakua rahisi kupata ubuyu,pia kuwa karibu na mitandao ya kijamii na kufuatilia habari za mastaa.

Umbea haufundishwi, unatakiwa upende kwanza lol, ila ubunifu muhimu, kuongezw chumvi muhimu

i doubt kama wewe sio muandishi wa magazeti ya udaku.lol
 
Nani mshindani wako haswa kwa Maswala ya Umbea humu Jukwaani?
zamani alikua jamaa mmoja hivi anaitwa money stunna, nilikua nashindana nae san ku post habar za udaku, na jamaa wengine kama watatu hivi, ila wao walipotea kitambo, kwa sasa sidhani kama nina mpinzani, japokua niliikua kimya kitambo, ila naona bado kiti changu kipo pale pale
 
Kwanini haujibu kuwa wewe ni Ke au Me?

Ukiruka maswali inaboa na kupunguza mvuto.
 
Ubuyu upi ambao uliuandika na ukapata mapokezi makubwa zaidi?
Kwa nini huwa hutaki jinsia yako ijulikane?
 
Warumi!! Lov you!! Uko charming n unasaidia kunifurahisha baada ya misukosuko miingi ya MAKUFULI n serikare yake hii!!

Bila shaka utakuwa ni DEMU wewe si ndiyo!?
aaaah aah, ahsante
 
zamani alikua jamaa mmoja hivi anaitwa money stunna, nilikua nashindana nae san ku post habar za udaku, na jamaa wengine kama watatu hivi, ila wao walipotea kitambo, kwa sasa sidhani kama nina mpinzani, japokua niliikua kimya kitambo, ila naona bado kiti changu kipo pale pale
Utakuwa ulienda kuwaloga si bure.. Watu wa mwananyamala mnatupa shida sana.. [emoji13] [emoji13] [emoji13] anyway we una origin ya mkoa gani
 
Ubuyu upi ambao uliuandika na ukapata mapokezi makubwa zaidi?
Kwa nini huwa hutaki jinsia yako ijulikane?
ni nyingi ila kwa haraka ni ubuyu wa odama wa bongo movie, ilikua na comments nyingi sana, na nyingine ni ya juzi kuhusu arobaini ya nillan, hizo ni baadhi tu ya thread zilizovunja rekodi kwangu, japokua naamini zipo nyingi sana kule celebrities forum.
 
Pole binamu, ila ni strategies zangu tu,ila kama ni mwana saikolojia mzuri utajua jinsia yangu bila mimi kutaja
Binafsi najisikia mkosefu sasa kukuuliza jinsia yako!!

Nimeshajua na nahisi nilikuwa sahihi siku nyingi tu, sema leo kwa vile umetaka mwenyewe kuulizwa nikajisikia tu kutaka kusikia kutoka kwako!!
 
Back
Top Bottom