Warumi (RIP) nimekumiss mwenzio

Pamoja na yote, kitendo cha mwanaume kukubali mwanaume mwezio kukuingiza …. Naomba niishie hapo maana hata katika interview ya baba yake Banana Zoro - Zahiri alisema kuwa angaliua kama kijana wake angalifanywa Shoga
Mzee mwenyewe kama anajihami,kakaa kama Elton John vile
 
Nadhan ungemtia moyo sana kama hizi sifa ungempatia wakati yupo hai mwenyewe akaziona.
 
Nadhan ungemtia moyo sana kama hizi sifa ungempatia wakati yupo hai mwenyewe akaziona.

Una uhakika gani kama sikuwahi kumpatia
Au ndio uzushi kwako ni tabia🙄🙄
 
Ushari kwako ni tabia,kaa mbali shetani...ur too cheap.

Sijakuzidi wewe. Halafu mwanaume unashindanaje na mwanamke ke, au umekataliwa sasa ndio hasira za kukosa bwana😅😅
 
Sijakuzidi wewe. Halafu mwanaume unashindanaje na mwanamke ke, au umekataliwa sasa ndio hasira za kukosa bwana[emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kabla ya kifo chako muda kama huu nilikua napitia threads zako za udaku zenye mafundisho tele. Kulikua na jambo la kujifunza kwenye kila post yako
Nimekumiss sana binamu,
Endelea kulala salama WARUMI
 
Binamu warumi aliondoka, tumebaki na binamu cocastic japo ana maringo kibao
 
[emoji24][emoji24][emoji24] binamuu kila nikikumbukaa naumiaa mnoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…