Kila mtu unique na Warumi alikua wa aina yake.
1.Uwezo mkubwa wa kuchambua mambo
2.Msimamo katika alichokiamini
3.Alikua na uwezo mkubwa wa kuona ubora kwenye watu/vitu bora
4.Pia alikua na uwezo wa kuona ubora kwenye watu/vitu visivyo bora
5.Alikua na uwezo mkubwa wa ushawishi
6.Alikua msema ukweli, hata ule ukweli unaouma
7.Alikua hodari wa kulumbana kwa hoja zenye mashiko
8.Kila neno aliloliongea hata liwe na ukakasi lilikua na thamani kwenye content yake
9.Alikua mtu wa watu, nna uhakika sio hapa jukwaani tuu ila hata nje ya jukwaa
10.Naweza kusema alikua na akili nyingi sana, akili za kizaliwa
Warumi alikua mmoja kati ya members mahiri sana kwangu hapa jf