Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mama D ,nakuombea kifo chema na wana jf wote wakati ukifika Tupumzike kwa amani,nitakukumbusha tukikutana mbinguniTutapumzika tuu kama tumemaliza kazi tuliyotumwa. Tuombeane mwisho mwema orturoo
Wakati mwingine hata hatumalizi missions tulizo tumwa, let alone ours , the world is not fair kwa kweliTutapumzika tuu kama tumemaliza kazi tuliyotumwa. Tuombeane mwisho mwema orturoo
Tumalize kazi tusimalize, wakati ukifika tutakwenda tu, kisha huko ndio tutajajiwa kwa kazi tuliyotumwa kama tumeimaliza ndani ya muda tuliopewa au lah..Tutapumzika tuu kama tumemaliza kazi tuliyotumwa. Tuombeane mwisho mwema orturoo
So sad.. Apumzike kwa amaniMlenge
Nimekuta wamemuwekea Badge tayari sijui kafariki lini huyu ndugu[emoji22][emoji22]
View attachment 1958517
Tujiandae kwa kufanya mema. Lazima tupendane, tuheshimiane, tuthamiane, tuwasaidie mayatima, tuwajali wajane, chuki, roho ya korosho tupa kule, unacho na una uwezo wa kusaidia saidia, usisaidie ukajigamba..NA SISI TUPUMZIKE KWA AMANI KWA WAKATI UJAO.....RIP FOR ALL OF US
Wakati mwingine hata hatumalizi missions tulizo tumwa, let alone ours , the world is not fair kwa kweli
Tumalize kazi tusimalize, wakati ukifika tutakwenda tu, kisha huko ndio tutajajiwa kwa kazi tuliyotumwa kama tumeimaliza ndani ya muda tuliopewa au lah..
Mathalani.. Ofisi imekupa kazi fulani kwa muda wa miaka miwili, basi miaka miwili ikikata ww unarudi makao makuu, kisha itategemea na ufanisi wako katika kazi uliyotumwa, aidha uule ama ile kwako
Ingekuwa tunaondoka kwa kumaliza kazi, basi soote ni mwendo wa kujichelewesha tu maana kifo kinatisha mpendwa.. [emoji23] Nacheka kama mazuri vile
Kadiri umri unavyosonga ndo nazidi kukitafakari kifo!! Na honesty sipati majibu ya kutosha, Kifo kisikie tu kwa jirani kinauma sana kwa mtu wa karibu.
imefikia mahala hadi naona hakukuwa na maana kabisa ya kuzaliwa na kuja duniani!
Kuzaliwa na kufa ni moja ya mission mbovu kabisa kuwahi kutokea duniani . It had to be either on , or off , not both.
Rip warumi !! , mbele yetu, nyuma yako
Alishatupa uzima+akili yakujua mema na mabaya ni mimi+wewe kutenda mema huku tukiendelea kusubiriri kuitwa kwakeMungu atujalie tufike huko
Ohooooo, Mama D mbona kama unatuaga vile? [emoji2297][emoji2297]Kila mwanadamu aliyepata kibali cha kuzaliwa duiniani na kuishi ametumwa kwa mission maalum ya Mungu.
Kila kazi tunayofanya tunatakiwa kuifanya kwa sifa na utukufu wa Mungu. Tukitumia akili na hekima tuliyojaliwa na Mungu katika kukamilisha yale aliyotuagiza kuyakamilisha
Huyu mwamba amefariki? Duh!
Ohooooo, Mama D mbona kama unatuaga vile? [emoji2297][emoji2297]
Ni ME mwenye u KE ndani yakeHivi alikuwa ni KE au ME
Kweli hata uchambuzi wa Paula ungetolewa r.i.p him.Jioni kama hii ungekuepo ningekua napitia posts zako mpya au comments zako za habari za mjini, habari zenye mafunzo aka umbea wenye afya
Nilikuaga najichekea mwenyewe ila kila kicheko na kichekesho toka kwako kilikua na mafunzo au shule ndani yake..... Dah kifo hiki💔😥👐
Kusema ukweli kuna threads zako ambazo nimewahi kuwapa mabinti machachari wanaochepukia, mabinti wanaodhani kila siku wataendelea kuwa kama walivyo zikawabadilisha sanaaaaa
Endelea kupumzika kwa amani binamu🕊🙏
Kila mtu ataondoka Getang'wan hata usipoaga utaondoka tuu
Usiseme mimi nakuaga sababu wewe mwenyewe unaweza kukuta huna hata dakika5 kwenye uhai wako uliobakia hapo ulipo