Warusi waikimbia ngome nyingine kaskazini kwa Kherson, kama kawa Ukraine waendeleza kipigo

Warusi waikimbia ngome nyingine kaskazini kwa Kherson, kama kawa Ukraine waendeleza kipigo

And you believe these Ukranine fake photos/video clip, how many cities have Zelensky forces liberated so far - nothing!!
Uzuri sote tuna macho ya kutizama television lakini pia kusoma kutoka vyanzo mbali mbali vya habari kama wewe.Ni swala tu la kuamua unataka kuamini habari ipi na ipi hutaki lakini haiondoi ukweli wa kilicholetwa hapa.
 
Hivi hakuna win win kabisa kwenye huu mgogoro wakakaa chini wakaitumia ukamalizika?
Mkuu ngoja tuone Putin atafanya nini maana ardhi ya Urusi inashambuliwa kwa mujibu wa "Annexetion" aliyoitangaza juzi.Lakini naona kabisa ile Mikoa minne ni ngumu sana kuikalia kama hali ndiyo hii kwa sasa.
 
Kweli.
 
Uzuri sote tuna macho ya kutizama television lakini pia kusoma kutoka vyanzo mbali mbali vya habari kama wewe.Ni swala tu la kuamua unataka kuamini habari ipi na ipi hutaki lakini haiondoi ukweli wa kilicholetwa hapa.

Fine - lakini msitake watu wote walazimike kufuata mkondo.
 
Sitaki kushabikia vita, maana najua na nafahamu vizuri maimivu ya vita mliokuwa kwenye vikosi m23 na ila PK kagombana na BT nahisi mnaelewa vizuri nasema nini, ila ni kwamba Ukraine 🇺🇦 hata kama ikatokea akashindwa hii vita bado Urusi inatakiwa ijiulize kama bado ana ubavu wa kuivimbia Marekani hata sasa
Rusia wanajua kabisa hawana uwezo wa kupigana na Marekani. Angalia kwa mfano silaha wanazompa Ukraine ni zile ambazo kwao
utasikia RT wanatangaza Putin asaini waraka wa kuiondoa kherson katika himaya ya Russia. huyu jamaa akili zake anazijua yeye
Sasa hivi na wao wameanza kushituka. Wameanza kukiri kuzidiwa na Ukraine. Juzi amenishekesha Waziri wa Ulinzi wa Rusia, anajitetea anasema Ukraine wamefanikiwa kukomboa Lyman kwasababu wametumia US weapons na Western intelligence. Mhaho wa kushindwa vita upo juu sana huko Rusia
 
Pengine tukuulize,wewe unapotoa maoni yako hapa huwa unalazimisha watu wafuate mkondo?

Hapana, nataka wasomaji wapate the other side of the story kutoka kwa truly independet correspondents ambao wako front line, sio hawa ambao ni overly biased wakitekeleza ajenda zao za siri kwa kupotosha wasomaji, sisemi jeshi la Urusi na wanamgambo hawapati hasara au kuuwawa -lakini idadi ya vifo vya wanajeshi wa Urusi vinatiwa chumvi mno, wakati mwingine jeshi la Zelensky linaoyesha uharibifu wa vita ya 2014 huku wakijua kwamba zana,vifaru na magari yaliyo kuwa yameharibiwa kwa wingi in 2014 ilikuwa predominatly Ukranian stuff not Russians.

Hawakati tamaa bado wanaendelea kutuletea usanii wao, kwa bahati mbaya kuna baadhi ya watu wanakubali kulishwa matango pori ya Zelensky bila ya kuhoji kwa kina.
 
Mkuu ngoja tuone Putin atafanya nini maana ardhi ya Urusi inashambuliwa kwa mujibu wa "Annexetion" aliyoitangaza juzi.Lakini naona kabisa ile Mikoa minne ni ngumu sana kuikalia kama hali ndiyo hii kwa sasa.
Hapo hatua ilipofika, hata kama Putin anadai mikoa 4 ni ardhi yake kwa mujibu wa "annexetion" ; ni ngumu kumesa. Atatema tu, Imekuwa ya moto mno, Ataachia hayo maeneo ambayo kimsingi (na ndo ukweli)ni ardhi ya Ukraine. Mrussi anatembeza Ubabe tu lakini ukweli anaujua tangu Feb.2014.
 
Super power with Soviet era tactics,
Vifaru msafara kilometer 74 unaviswaga kwenda kyiv....mwenzako anakausha tu msafara usonge..hivi niwaulize nyie Mbagala Russians ule msafara na Askari wake mbona mpaka Leo haujarudi Wala kufika kyiv?
mpaka leo Putin haaamini una ambiwa alikutana na madude hayo yakuitwa Javelin na NLaw msafara uli yeyushwa ghafla na jamaa hajawahi kufikiria tena kurud kyiv ame koma bwana Punyoko
 
And you believe these Ukranine fake photos/video clip, how many cities have Zelensky forces liberated so far - nothing!!
Time will tell!! Ukraine has a more modern army, which is well trained in modern warfare tactics in the UK and USA while Russia is still driven by Soviet Union military tactics of haphazard artillery fire only. Look at how Russians waste their artillery munitions.

1664884646674.png
 
Time will tell!! Ukraine has a more modern army well trained in modern warfare tactics in the UK and USA. Russia is still driven by Soviet Union military tactics of haphazard artillery fire only. Look at how Russians waste their artillery munitions.

View attachment 2376979
It is an advantage to Ukrainians due to the fact that by "broadcasting munitions" technique that Russians still make use of, there are few or sometimes nill cases of casualties thereof.
 
Super power with Soviet era tactics,
Vifaru msafara kilometer 74 unaviswaga kwenda kyiv....mwenzako anakausha tu msafara usonge..hivi niwaulize nyie Mbagala Russians ule msafara na Askari wake mbona mpaka Leo haujarudi Wala kufika kyiv?
Wale wanajeshi wa Urusi walikuwa wanaambiwa ''nyie ni best of best, hamshindwi na lolote. Wakapanga mstari wa vifaru na magari kuelekea Kyiv. Kumbe wanajeshi wa Ukraine wanawalia timing tu. Kuna kitu kinaitwa ''ambush''. Wakawasubiri wakaingia kwenye mtaa mwembamba wenye nyumba pande zote. Mara bang! Wakapiga kifaru cha mbele na cha nyuma ya mstari. Halafu wakaangusha kipigo kwa msafara wote. Wakijaribu kurudi nyuma, n'chale, wakitaka kwenda mbele, n'chale.
 
Back
Top Bottom