Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Nasikitikika kusema kwamba una dalili za changamoto ya afya ya akili.
Wala sikushangai, waswahili wengi ndio tulivyo,kama hajui kitu anaishia kukiponda tu hana muda wa kutaka hata kujielimisha,kwamba mwenzangu kataja majimbo/nchi zilizo jiunga na USA kwa njia ya ndio sivyo ebu nifanya walao kautafiti kidogo kujua historia alisi ya majimbo/nchi hizo tajwa - as far as is concern everything sounds Greek to him!!