Warusi waikimbia ngome nyingine kaskazini kwa Kherson, kama kawa Ukraine waendeleza kipigo

Warusi waikimbia ngome nyingine kaskazini kwa Kherson, kama kawa Ukraine waendeleza kipigo

Kwa sasa askari wengi wa Urusi, hasa hawa waliopatikana kupitia 'Partial Mobilization' wanapigana kinyume na hiari yao maana wanajua vita hiyo haina maslahi kwa nchi yao, bali kwa Putin binafsi genge la wahuni wenzake. Kwa mazingira kama hayo uwezekano wa Putin kushinda ni zero
Hata miongoni mwa maofisa-ajeshi ndani ya hilo genge lake la wahuni wameshamshtukia hawako naye kiuhalisia. Kwa sasa wanamwitikia tu "Ndio afande" ili mkono uende kinywani, lakini ikitokea fursa watamwondoa kichwa chap. Mchezo uishe.
 
Alijisahau sana akajilimbikizia machuma-chuma yanayotumia mfumo wa Analojia kumbe wenzake wameadvance wanatumia Digital. Wenzake wanapiga na kumfumua wakiwa ofisini wakati yeye anapeleka mlolongo wa mavifaru outdated 64km.eti kwenda kuichukua Kyiv ndani ya masaa 72. Stupid idiot boy.
😆😆😆😆 huo msafara hadi Zele alitaka kukimbia
 
Mnacho sahau ni kwamba Ukraine ilikuwa ni sehemu ya Soviet Union - Russia ilikubali wa hiari yake kuiachilia Ukraine iwe huru, hakuna aliye walazimisha Warusi kuipatia uhuru Ukraine, hakuna.

Tatizo la Ukraine linasabishwa kwa kiasi kikubwa na hulka za Zelensky na wafadhili wake wakubwa - mfano kwa nini Zelensky anawatisha tisha ethnic Ruasians kwamba wasizungumze lugha ya kirusi hata wakiwa wanazungumza na
familia zao,je,sisi hapa Tanzania tumewahi kuweka sheria ya raia kukatazwa kuzungumza lugha zao za asili wanapokuwa majimboni mwao ya asili?? Serikali ya Zelensky ilifikia hatua mpaka ya kufunga raia wanao zungumza Kirusi,wakafungia TV ,radio na magezi yaliyo kuwa yanatumia lugha ya Kirusi, sasa mlitegemea raia wa kusini mashariki mwa Ukraine wangefanya nini ili kuepusha unyanyasaji wa Serikali ya Zelensky husio na kifani dhidi yao - ndio maana majimbo hayo ya kusini mashariki yaliomba msaada kutoka kwa jeshi la Putin ili kukomesha udhalimu walio kuwa wanatendewa na Zelensky na gege lake ovu la Azov neo NAZI, hizo ndizo sababu za msingi zilizo ilazimu Russian kuingilia kati, lakini nchi za magharibi zinajifanya kulifumbia macho suala hilo - badala yake kumulaahumu na kumshutumu Putin 24X7. kujifanya wao ni malaika.
Hivi wakati Russia anaimega Crimea tatizo alikuwa Zelensiky pia?
 
Alijisahau sana akajilimbikizia machuma-chuma yanayotumia mfumo wa Analojia kumbe wenzake wameadvance wanatumia Digital. Wenzake wanapiga na kumfumua wakiwa ofisini wakati yeye anapeleka mlolongo wa mavifaru outdated 64km.eti kwenda kuichukua Kyiv ndani ya masaa 72. Stupid idiot boy.
Namuonea tu huruma akiweka battle na hata Ujerumani tu anapigwa kama ngoma
 
Alijisahau sana akajilimbikizia machuma-chuma yanayotumia mfumo wa Analojia kumbe wenzake wameadvance wanatumia Digital. Wenzake wanapiga na kumfumua wakiwa ofisini wakati yeye anapeleka mlolongo wa mavifaru outdated 64km.eti kwenda kuichukua Kyiv ndani ya masaa 72. Stupid idiot boy.
Mlolongo wa vifaru kama motorcade ya rais! Walifikiri wanaenda kufanya paredi?
 
🤣🤣🤣🤣 hivi yake ma SU 3000 mara S4000 yako wapi yameshindwa kudungua hata kinguru
Hehehee. Yale yalikuwa ni ya plastic. Mwenzake alimtegeshea HIMARS za mbao basi yy akazifumua kweli-kweli akidhania ndo HIMARS zenyewe kumbe kaingizwa choo cha kike.
Mnacho sahau ni kwamba Ukraine ilikuwa ni sehemu ya Soviet Union - Russia ilikubali wa hiari yake kuiachilia Ukraine iwe huru, hakuna aliye walazimisha Warusi kuipatia uhuru Ukraine, hakuna.

Tatizo la Ukraine linasabishwa kwa kiasi kikubwa na hulka za Zelensky na wafadhili wake wakubwa - mfano kwa nini Zelensky anawatisha tisha ethnic Ruasians kwamba wasizungumze lugha ya kirusi hata wakiwa wanazungumza na
familia zao,je,sisi hapa Tanzania tumewahi kuweka sheria ya raia kukatazwa kuzungumza lugha zao za asili wanapokuwa majimboni mwao ya asili?? Serikali ya Zelensky ilifikia hatua mpaka ya kufunga raia wanao zungumza Kirusi,wakafungia TV ,radio na magezi yaliyo kuwa yanatumia lugha ya Kirusi, sasa mlitegemea raia wa kusini mashariki mwa Ukraine wangefanya nini ili kuepusha unyanyasaji wa Serikali ya Zelensky husio na kifani dhidi yao - ndio maana majimbo hayo ya kusini mashariki yaliomba msaada kutoka kwa jeshi la Putin ili kukomesha udhalimu walio kuwa wanatendewa na Zelensky na gege lake ovu la Azov neo NAZI, hizo ndizo sababu za msingi zilizo ilazimu Russian kuingilia kati, lakini nchi za magharibi zinajifanya kulifumbia macho suala hilo - badala yake kumulaahumu na kumshutumu Putin 24X7. kujifanya wao ni malaika.
Mkuu, Ninaamini ww unafahamu vizuri Mamlaka ya nchi humaanisha kitu gani. Mambo ya ndani ya nchi huachiwa Mamlaka ya nchi hiyo iyaamulie. Kama Mamalaka iliyopo inadumisha au kuna uvunjifu wa haki za watu wake(Raia) kama unavyodai, Umoja wa Mataifa huingilia kati kwa kuitaka nchi husika itoe maelezo au isitishe jambo hilo. Hakuna cha eti ww e.g.Russia umeona na umeombwa na umekubali kuingilia kati kutatua mgogoro bila hata kuishirikisha nchi inayotuhumiwa au walau Umoja wa Mataifa. Badala yake ww Russia unavifadhili vikundi vya kigaidi vinavyoihujumu Ukraine vilivyo ndani ya nchi ya Ukraine ambayo ndo Mamlaka halali iliyo Madarakani. Ndo maana Mrussi akaitwa Mbabe i.e. Unasikia ya upande mmoja (Ethnic groups) na unatolea maamuzi(Hukumu) i.e. Mrussi anajipa Upolisi yy mwenyewe, Uhakimu yy mwenyewe na Kusimamia utekelezaji wa Hukumu(Magereza) aliyoitoa.
Yaani ni kama itokee hapa Tz. Serikali imepiga marufuku utumiaji wa mifuko ya plastic (Rambo) halafu wenye viwanda vinavyotengeneza mifuko hiyo wailalamikie Serikali kwamba inawanyanyasa na wafike mahali waanze kutoa malalamiko hayo nje ya nchi. Sasa hapo e.g. Kenya ikurupuke na kuyatilia maanani malalamiko hayo na kuwaunga mkono Wenye viwanda na iende mbali zaidi kwa kuwafadhili walalamikaji hao mafunzo kijeshi silaha za kijeshi ili waweze kuanzisha vuguvugu la kudai haki zao. Huoni ni kitu cha Kibabe? Huoni ni Insubordination kwa Mamlaka ya Utawala Tz? Hivo ndivyo ilivyo kwa Putin. Hakufuata Taratibu na Kanuni za Kimataifa kama kweli kulikuwa na unyanyasaji kwa kuagiza lugha inayotakiwa yaani alizipuuza kanuni hizo na kujiamulia kivyake-vyake. Mbona hata hapa Tz. Lugha inayokubalika na Serikali ni Kiswahili au kiingereza. Lakini ukienda huku e.g. Umasaini ndanindani huko utahitaji mkalimani. Mbona katika scenario hiyo hakujawa na malalamiko ya unyanyaswaji?
Mkuu; Tukubaliane tu kwamba Ni ukosefu mkubwa sana wa Adabu na Heshima kwa mtu maarufu kama Putin kutenda alivyotenda. Ni Aibu kwa Taifa kubwa na maarufu kama Urussi kuingia katika kashfa hiyo ya Uzembe wa kutumia nguvu ya majeshi ya Taifa lake kufanya Uvamizi -kitu ambacho hakikubaliki Kimataifa.
 
😆😆😆😆 huo msafara hadi Zele alitaka kukimbia
Halafu jamaa kamkomalia kidedea kwa vitisho eti usithubutu kujibu mapigo labda unaweza tu kujisalimisha au kukimbia kwa usalama wako. Zele ikawa hoja ngumu mno kwake.
 
Halafu jamaa kamkomalia kidedea kwa vitisho eti usithubutu kujibu mapigo labda unaweza tu kujisalimisha au kukimbia kwa usalama wako. Zele ikawa hoja ngumu mno kwake.
Nahisi alipewa info vizuri na CIA kuwa komaa tu kiume huyu tunamtaka akiwa hai so naona kinachofanyika jamaa Putin atafika mahali atakimbia au kama ile roho ya ujasusi bado ipo atakufa kishujaa
 
Morali ya mwanajeshi vitani inatokana na imani na kuelewa kwanza anapigania kitu gani. Wanajeshi wa Russia hawajui wanachopigania Ukraine.
Russia wamekosa morale ys vita wakati Ukraine morale yao iko juu
 
Usiwe na shaka, watakaa tu chini kuzungumza, vita zote duniani huwa zinaisha kwa majadiliano kama inaonekana hakuna atakayeshinda kwa silaha, lakini fahamu hapa West hawaangalii huu uvamizi wa sasa tu, wanataka wamuonyeshe Putin na Russia yake ni kitu gani wakitegemee tena wakijaribu tena kurudia vitendo vyao dhalimu vya uvamizi na uporaji ardhi za majirani zake.
Hivi hakuna win win kabisa kwenye huu mgogoro wakakaa chini wakaitumia ukamalizika?
 
Wewe uko frontline?
Wewe ni Independent correspondent??
Kama wanatekeleza ajenda za siri wewe umezijuaje??
Hapana, nataka wasomaji wapate the other side of the story kutoka kwa truly independet correspondents ambao wako front line, sio hawa ambao ni overly biased wakitekeleza ajenda zao za siri kwa kupotosha wasomaji, sisemi jeshi la Urusi na wanamgambo hawapati hasara au kuuwawa -lakini idadi ya vifo vya wanajeshi wa Urusi vinatiwa chumvi mno, wakati mwingine jeshi la Zelensky linaoyesha uharibifu wa vita ya 2014 huku wakijua kwamba zana,vifaru na magari yaliyo kuwa yameharibiwa kwa wingi in 2014 ilikuwa predominatly Ukranian stuff not Russians.

Hawakati tamaa bado wanaendelea kutuletea usanii wao, kwa bahati mbaya kuna baadhi ya watu wanakubali kulishwa matango pori ya Zelensky bila ya kuhoji kwa kina.
 
Usiwe na shaka, watakaa tu chini kuzungumza, vita zote duniani huwa zinaisha kwa majadiliano kama inaonekana hakuna atakayeshinda kwa silaha, lakini fahamu hapa West hawaangalii huu uvamizi wa sasa tu, wanataka wamuonyeshe Putin na Russia yake ni kitu gani wakitegemee tena wakijaribu tena kurudia vitendo vyao dhalimu vya uvamizi na uporaji ardhi za majirani zake.
Okey boss
 
Baba Zele ndio mahindi
 
Upo bize na Urusi wakati kijana wa Museveni kaahidi kuichukua Nairobi ndani ya wiki 2..
 
Back
Top Bottom