Mnacho sahau ni kwamba Ukraine ilikuwa ni sehemu ya Soviet Union - Russia ilikubali wa hiari yake kuiachilia Ukraine iwe huru, hakuna aliye walazimisha Warusi kuipatia uhuru Ukraine, hakuna.
Tatizo la Ukraine linasabishwa kwa kiasi kikubwa na hulka za Zelensky na wafadhili wake wakubwa - mfano kwa nini Zelensky anawatisha tisha ethnic Ruasians kwamba wasizungumze lugha ya kirusi hata wakiwa wanazungumza na
familia zao,je,sisi hapa Tanzania tumewahi kuweka sheria ya raia kukatazwa kuzungumza lugha zao za asili wanapokuwa majimboni mwao ya asili?? Serikali ya Zelensky ilifikia hatua mpaka ya kufunga raia wanao zungumza Kirusi,wakafungia TV ,radio na magezi yaliyo kuwa yanatumia lugha ya Kirusi, sasa mlitegemea raia wa kusini mashariki mwa Ukraine wangefanya nini ili kuepusha unyanyasaji wa Serikali ya Zelensky husio na kifani dhidi yao - ndio maana majimbo hayo ya kusini mashariki yaliomba msaada kutoka kwa jeshi la Putin ili kukomesha udhalimu walio kuwa wanatendewa na Zelensky na gege lake ovu la Azov neo NAZI, hizo ndizo sababu za msingi zilizo ilazimu Russian kuingilia kati, lakini nchi za magharibi zinajifanya kulifumbia macho suala hilo - badala yake kumulaahumu na kumshutumu Putin 24X7. kujifanya wao ni malaika.