U Uzalendo wa Kitanzania JF-Expert Member Joined Mar 8, 2020 Posts 4,274 Reaction score 9,326 Jan 25, 2026 #1 Naomba Moderator iache uzi huu uwe huru tafadhali. Je kuikubali na kuitumia Biblia hiyo siyo kukubali alama ya Mnyama kwa mujibu wa kitabu cha Ufunuo wa Yohana? Karibuni tujifunze
Naomba Moderator iache uzi huu uwe huru tafadhali. Je kuikubali na kuitumia Biblia hiyo siyo kukubali alama ya Mnyama kwa mujibu wa kitabu cha Ufunuo wa Yohana? Karibuni tujifunze
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,306 Reaction score 14,632 Jan 25, 2026 #2 Roma ni dini ya mapagani kutoka rumi, wakrsto wa kweli ni wale wanao muamudu mungu wa kweli aliye hai.
Roma ni dini ya mapagani kutoka rumi, wakrsto wa kweli ni wale wanao muamudu mungu wa kweli aliye hai.