Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa tete. Zuchu akimbia Jukwaa

😁😁😁 Sawa Ila aliyepata hasara ni nani hapo kati ya aliyelipa kiingilio na kufanya vurugu na aliyelipwa na haku-perform

Then hii sio Mara ya kwanza kutokea
Kikubwa wamempa picha kuwa hawamkubali, unadhani ye zuchu itamuathiri kiasi gani kisaikolojia? Yani kwa tafsiri ya haraka ni hawamtaki ye ni takataka, yani upande jukwaani nusu uchi ujinengulishe watu wakukatae bado wakurushie takataka halafu useme hamna hasara kwa msanii husika???
 
Kikubwa ishu ya Pdidy itamcost Daimond na wasanii wake
 



😎😎😎 watanzania mna hasira Sana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…