Wasafi hawajawahi kutaja neno Serengeti, Kilimanjaro au hata Ngorongoro kwenye nyimbo zao, kwanini?

Haha kenyans are not that patriotic as you may think we are,tuko patriotic tu kama kitu ina tu benefit,i mean ka italeta pesa which are investments thats when pple bcome patriotic

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila Mondi na Wasafi wana kazi,mpaka hili Serengeti nalo la kulaumu duuu,yaani kuna watu wana lawama za kijinga.
 
Mkuu una uhakika wewe sio Nshomile?!
 
Mbona alikiba alipewa ad uambasada na akalipwa kwaajr yahilo lakn ajawahi taja
#DO_THAT_CAN_MAKE_YOU_STRONG
 
Nadhani ingekuwa vyema kuwa wazalendo kidogo, katika moja wapo ya nyimbo zao wakawa wanachomeka neno Serengeti au hata Ngorongoro, itasaidia sana kiutalii wa ndani na wa nje.
Kwani ni lazima!walipeni.wao wanatunga nyimbo kwa kuangalia soko. Au mahitaji ya soko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…