Wasafi hawajawahi kutaja neno Serengeti, Kilimanjaro au hata Ngorongoro kwenye nyimbo zao, kwanini?

Wasafi hawajawahi kutaja neno Serengeti, Kilimanjaro au hata Ngorongoro kwenye nyimbo zao, kwanini?

Ninaposema uzalendo inabidi uelewe maana ya uzalendo, angalia wasanii wa Kenya, kila shairi lazima ataje "Kenya yetu, wanyama wetu, lugha yetu, mlima wetu", sasa angalia huku kwetu, "Bonge nyaya tetema, ai, mama, nakufa, konki , Lwikwidiii..." hahahahahah
Haha kenyans are not that patriotic as you may think we are,tuko patriotic tu kama kitu ina tu benefit,i mean ka italeta pesa which are investments thats when pple bcome patriotic

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila Mondi na Wasafi wana kazi,mpaka hili Serengeti nalo la kulaumu duuu,yaani kuna watu wana lawama za kijinga.
 
Rafik yangu hunijui vizuri. Mm ni mtanzania, nalipa kodi zaid ya million mbili kila mwezi. Na hiyo ni minimum. Ukienda exact kuna kipindi nalipa mpaka million 20. Nasafiri nje karibu kila miezi mitatu na nguo zote ninazovaa ni zile za kitanzania zenye picha za wanyama, mlima kilimo, mazao, mbuga na tamaduni mbali mbali za kiafrica. Nimeshawahi mpaka Ku connect makampuni kibao na watalii na wengine ni investors mpaka Leo wana makampuni huko Arusha. Kama ninachofanya mm kwenye shughuli zangu ambazo hata situmii gharama yoyote kingefanywa na watanzania million mbili tu, tungeisaidia sana hii nchi. Tungekuwa mbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu una uhakika wewe sio Nshomile?!
 
Mbona alikiba alipewa ad uambasada na akalipwa kwaajr yahilo lakn ajawahi taja
#DO_THAT_CAN_MAKE_YOU_STRONG
 
Nadhani ingekuwa vyema kuwa wazalendo kidogo, katika moja wapo ya nyimbo zao wakawa wanachomeka neno Serengeti au hata Ngorongoro, itasaidia sana kiutalii wa ndani na wa nje.
Kwani ni lazima!walipeni.wao wanatunga nyimbo kwa kuangalia soko. Au mahitaji ya soko.
 
Back
Top Bottom