Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Wimbo ganiWame shoot video kwenye hifadhi ya kitulo kuna yeyote alie toa credit espcly waziri wa utalii kwa hilo???
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wimbo ganiWame shoot video kwenye hifadhi ya kitulo kuna yeyote alie toa credit espcly waziri wa utalii kwa hilo???
Sent using Jamii Forums mobile app
hata diamond alilipwa kuperform mwanzaSio ajabu kwani diamond ni mfanyabiashara , hao kina neyo waliokuja si wamelipwa na waliowaleta ?
msanii sio mtu wa kumfanyia vitu hivyo halafu umuache hivi hiviUtasemaje kuwa hapati kitu wakati tayari amepewa of ya kuingia bure, amelipiwa malazi, chakula na kinywaji akiwa mbugani?
Yes , that's businesshata diamond alilipwa kuperform mwanza
Haha kenyans are not that patriotic as you may think we are,tuko patriotic tu kama kitu ina tu benefit,i mean ka italeta pesa which are investments thats when pple bcome patrioticNinaposema uzalendo inabidi uelewe maana ya uzalendo, angalia wasanii wa Kenya, kila shairi lazima ataje "Kenya yetu, wanyama wetu, lugha yetu, mlima wetu", sasa angalia huku kwetu, "Bonge nyaya tetema, ai, mama, nakufa, konki , Lwikwidiii..." hahahahahah
Mkuu una uhakika wewe sio Nshomile?!Rafik yangu hunijui vizuri. Mm ni mtanzania, nalipa kodi zaid ya million mbili kila mwezi. Na hiyo ni minimum. Ukienda exact kuna kipindi nalipa mpaka million 20. Nasafiri nje karibu kila miezi mitatu na nguo zote ninazovaa ni zile za kitanzania zenye picha za wanyama, mlima kilimo, mazao, mbuga na tamaduni mbali mbali za kiafrica. Nimeshawahi mpaka Ku connect makampuni kibao na watalii na wengine ni investors mpaka Leo wana makampuni huko Arusha. Kama ninachofanya mm kwenye shughuli zangu ambazo hata situmii gharama yoyote kingefanywa na watanzania million mbili tu, tungeisaidia sana hii nchi. Tungekuwa mbali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ni lazima!walipeni.wao wanatunga nyimbo kwa kuangalia soko. Au mahitaji ya soko.Nadhani ingekuwa vyema kuwa wazalendo kidogo, katika moja wapo ya nyimbo zao wakawa wanachomeka neno Serengeti au hata Ngorongoro, itasaidia sana kiutalii wa ndani na wa nje.
Ndio mahitaji ya soko lao.waimbe nini !Mapenzipenzi Tu Ndio Yametawala Nyimbo Zao Kana Kwamba Kuna Mtu Anazaliwa Hajui Mapenzi
Nifikishe Kileleni, Kilele cha Kilimanjaro..
Hii nimeikubali aiseee.., daaahNifikishe Kileleni, Kilele cha Kilimanjaro..
Nipeleke Magogoni, au Nifiche Ngorongoro..
Sent using Jamii Forums mobile app