Wasafi imemkosea nini Joh Makini?

Wewe jamaa Best nasso siyo wa Mwanza ni msanii kutoka Musoma. Mwanza tunawakilishwa na Fid q + Young killer.
Okey asante kwa kunirekebisha maana nyimbo zake zinapigwagwa Mwanza hasa has ile ya 'nirudi kijijini'

Young Killer naye alianza kumdiss Joh Makini kisa anabebwa sasa basi wangesema wasanii wa kaskazini ndo wanabebwa maana kila radio hakupigwi nyimbo mbili yatattu isitoka kaskazini
 
Mkuu hapo mwanza muonģeze koñki konki konķi master dudu baya please
 
Shaa ni mmakonde pyuu , ila ameolewa na muarusha, master J
 
Hujui unachoongea wewe! Wasanii kibao kutoka Arusha wameenda pale Wasafi! Hata Weusi, wameshaenda pale Wasafi including Nick II. Wale wanaoendesha kipindi cha Block 89, kuna wengine wanatokea kaskazini! Yaani kutowepo Joh Makini tu ndo uone kuna ukabila?! Kwani Joh na Nick II wanatoka makabila tofauti?! Kwamba Huwezi kuona Mond au Wasafi wana-launch shows Arusha, unazungumzia shows zipi hasa?! Ukiona Mond, Harmonize, Mboso au yeyote ameenda mkoa X ni kwamba huko kuna promota kafika bei ndo maana wameenda! Sasa ulitaka waende Arusha hata kama hakuna Promota aliyehitaji hao wasanii waende huko na akafika bei?!

Swali ni je, kwanini mapromota wa Arusha hawawaleti Wasafi au Diamond?! In short Arusha mna usela mavi, manake usela wa fujo ni usela wa kishamba! Clouds walishawahi kupeleka Fiesta, ikaibuka bonge la vurugu hadi Clouds wakaachana na Arusha! Sasa unadhani kuna promota anaweza kuita msanii anayetaka pesa nyingi wakati hana uhakika ikiwa shoo itaisha salama?!

Acheni usela wa kishamba!

Lakini kama unazungumzia shows za Wasafi; ni shows zipi hasa?! Kama ni Wasafi Festival Festival, imefanyika mara moja tu tena kwa majaribio! Na mara moja yenyewe, kuna mikoa kibao haikufanyika including Dar es salaam! Sasa kwanini uone kutofanyika Arusha ni ukabila?! We unafikiri Wasafi au Diamond wanafanya charity work hadi udhani hawawezi kwenda sehemu eti kwa sababu za ukabila?

Kuna kila dalili, wewe ndo mkabila!
 
Hoja dhaifu sana, uarusha ndo the main problem, acha kuzunguka mbuyu, hata huko maskul si tulikuwa tunawaona, kujitenga tenga tu na kujiona wao superior na videmu vyao vilivyoungua meno, hzo vurugu za fiesta ya clouds si zilichangizwa na wasanii wa chuga kutopewa frontline kwenye jukwaa...hata kuwekeza Arusha kwa mgeni ni ngumu utafanyiwa figisufigisu tu na fujo ili utoke kwenye reli, furaha ya watu wa Arusha ni kuona weusi, dogo janja, na type za wasanii wa kule ndo wanapiga show tofaut na hapo watakufanyia kila aina ya uhaini
 
Pia Diamond aliwahi kuweka wazi kuwa kuna wakati aliomba collabo na Joh akiwa ndo anahangaika kutoka. Joh akamwambia ampe elfu50, jamaa pesa akapewa lakini hakutokea kwa makochali kwa ajili ya kuingiza voko. Kila akipigiwa simu ikawa hapokei. Kwahiyo kuna kama kibif ka chini kati yao.
 
Hapo kwenye ukabila umezingua sana

Nini maana ya ukabila? Hivi siku hizi tz tunaulizana ukabila kila tukikutana? Sijajua nini maana ya ukabila?
Kama hujajua nini maana ya ukabila unajuaje kazingua sasa enh?
 
Kama mnapapatikia wenye hela ndo maana shishangai mashoga wengi kutokea arusha na kilimanjaro
 
Tatizo hueleweki hoja yako ni nini hasa! Kuna uzi umeufungua, huu hapa:-
Wewe unayedhani una hoja strong, kwenye huo uzi unalalamikia nini, na kwenye hiyo post yako hapo juu unalalamikia?! Mara tatizo ni wasanii wa Arusha kuendekeza ukabila, mara Arusha walifanya fujo kwa sababu Clouds hawakuwapa kipaumbele wasanii wa Arusha! Mara tangu Wasafi ianze haijawahi kufanya show Arusha! Jifunze kujenga hoja!!!
 
Mwambie rafiki yako, nimepoteza wallet ilikuwa na laki moja.
Kisha mtazame usoni amelipokeaje.

Wiki moja baadae, mwambie kuna mtu uliyekuwa unamdai kwa muda mrefu sana, amekulipa milioni moja yako.
Kisha mtazame usoni amelipokeaje na hilo.

Kesho yake utajua, yafaa kumuita rafiki au snitch.
 
Usishangae kuiacha tanga hao ni wakabila Sana... Roma aliwaambia kaskazini Bila tanga ni msondo bila gurumo..
Wachaga ni wadini na wakabilaa,tanga imebaguliwa kidini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…