Wasafi imemkosea nini Joh Makini?

Best naso kwao Musoma
 
Kwa hiyo hata Ali Kiba ni muarusha?
 
Wivu
 
Mfaidika hapa ni mkaskazini ipo siku muhaya atamichoka maana wasanii wote kaskazini , ebu tutajie msanii muhaya kwasasa anae nufaika na clouds ?
 
Acha Uongo Mwanza Best naso? Ungesema Musoma Hapo Sawa
Mvuta Kamba Huvutia Kwake
 
Kaskazini tunapingwa kila kona. Adi kwenye music tunapingwa.
wamekuwa wakizunguka tu mara ooo.. Muarusha ooo.. Ukabila diamond mwenyewe alikiri kukataliwa kollab na Joh makin alipokuwa akihojiwa kwanza TV mbona hao wengine kina Vanessa wanafanya interview wasafi!? Tutoe sababu za msingi huyo John makin anafanya kwa sabab zake
 
shame on you nakumbuka tigofiesta 2017 iliyozinduliwa arusha msanii aliyepokea support kubwa kuliko alikuwa in aslay go watch the video and see
 
Yani mwaka huu wameiacha Arusha jiji na moshi kwenye wasafi festival na kwenda maeneo kama muleba km 70 kutoka Bukoba mjini .

Hapo ujue kuna tatizo fanbase ya arusha
 
Mwanza best naso?

Hiv uko Sawa?
 

Ni maagizo kutoka mawinguni mkuu
 
Rafael saganda sio msanii?
 
Kumbe maua sama ni wa moshi?

Sio Kwa Sura zile
 
shame on you nakumbuka tigofiesta 2017 iliyozinduliwa arusha msanii aliyepokea support kubwa kuliko alikuwa in aslay go watch the video and see
Hv unajua kwa nin Aslay alipokea support, hao hao akina Bdozen na Mchomvu ndo walihusika kucreate fanbase ya fasta fasta hapo chuga ili kumnyanyua Aslay apate shangwe la nguvu, lengo lao kufight popularity na Mond,
Watu wa Arusha humsikiliza Sana muarusha mwenzao, yaan hata ukiwaambia kinyesi ni chakula watakuelewa cha msingi utokee pande hzo...
 
Mwanza best naso?

Hiv uko Sawa?
Kwa hiyo kwenu wasanii wanaoibeba Mwanza Fid Q, Young Killer, Kala Jermiah, etc etc

Mbona sisi Kilimanjaro hatunaga msanii wa kwetu tunayempenda maana kila nyimbo tano zitakazo pigwa redioni au kwenye tv huwezi kosa wasanii wanaotoka kanda ya kaskazini. Kanda ya kaskazini tumejaaliwa vipaji sio nyinyi na Kigoma yenu all star wakabila mpaka vinyesi vyenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…