Wasafi imemkosea nini Joh Makini?

Yani mwaka huu wameiacha Arusha jiji na moshi kwenye wasafi festival na kwenda maeneo kama muleba km 70 kutoka Bukoba mjini .

Hapo ujue kuna tatizo fanbase ya arusha
Waende tu wale nguchiro wa Ntwara kwanza kila siku ni ugomvi na platform zetu. Sijawahi kuzisikiaga habari za Mondi kwenye IPP media maana kipindi anatoka na Mbagala wimbo wake ulikuwa unapewa airtime sana sasa kwa vile amekengeuka basi apite vile ajifunze kuwa na adabu na ata akija Arusha tutamgomea hata kwa kampeni
 
Sikiliza sauti sasa huko kwenu Inshomile hamna sauti, sura mbaya, rangi mbaya nyeusi tii ila hongeni kwa mashepu yenu hapo mmebarikiwa pamoja na ukabila
Ukabila kuzidi nyie.

Hiv tungekuwa tunajenga Bukoba na kuipendelea si ingekuwa Dubai ndogo?



Bila Shaka unamfahamu goodluck gozbert rweyemamu,vip malaika,vip bushoke, vip Diana xavery maarufu kama malaika,
Vip sauti tamu ya Saida karoli najua nyimbo zake unazijua huku akiimba kihaya.

Angalia picha hapo chini ni madancer wa kihaya wa Saida karoli ,maua sama hawezi kuwafikia hata robo
 
ulitakiwa kusema clouds john makin ni msanii ambaye clouds wanapromote ngoma zake na wanampa michongo ya shoo ikiwemo fiesta ishu ya aslay kupata support kubwa ilikuwa surprise ndipo wakaanza kumshindanisha na diamond gnako Nikki wa pili na wengine wanafanya interview wasafi kama kawa okey now you see tatizo in clouds nasio uarusha wala ukabila
 
alieimba
ni namna gani ah;
ni jinsi gani tutawin maishan mpaka siku tunasema burian....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah nilikuwa mdogo sana hata na pasta Munishi mzee wa Malebo umenikumbusha mbali sana. Tatizo la wasanii kama hawa wakiimba kilugha ndo unakuwa mwanzo wa kufeli. Mfano uimbe kimarangu ukienda Rombo hakuna atakayeujua huo wimbo, ukienda Kibosho, Machame, Uru, Narumu, Kahe, Mwanga etc etc utakuwa ni sawa na nyimbo ya mtaani kama ilivyo kisingeli unaimbwa na watu wa uswazi so ukipanda chati ukifika ushuani basi kisingeli unaachana nacho
 
Vip kuna msanii wa kichaga au wa kasikazini anayeweza mfikia mtoto huyu wa kihaya Diana xavery clavery maarufu kama malaika Kwa
Sura
Shape
Sauti
Rangi
nk
Nk
 
Na kwa bahati Nzuri Malaika amekulia na kusoma Kibosho girls hapa Kibosho kama sio angekuwa kama nyinyi kina Nshomile maana tumemkuza vizuri chini ya mlima Kilimanjaro uliojaa baraka tele. Wasanii wengi ukiangalia either wamesomea Moshi au kukulia huku.

Saida Karoli ni kweli nilikuwaga mpenzi wa nyimbo zake za kihaya ila nilikuwa sizielewi mfano Maria-rose, chambua kama karanga, mapenzi kizunguzungu etc etc. Huku kwetu Moshi hatunaga muda ya kuzungusha viuno sisi tuna muda wa kutafuta pesa. Kuanzia kumka mpaka kulala sisi twawaza pesa viuno nyinyi kateni alafu mrudi kwenu. Mngekuwa na akili mngefanya kama hawa watu wa Tanga wanakuja kusasambua kwenye Baikoko alafu unawapa pesa kwenye event yako sio nyinyi viuno mkatike alafu mkaombe pesa kwa bwana zenu

Embu mtuite tuwafundishe biashara. Siku nikipata mchongo huko kwenu Bukoba nitawauza hao wanawake zenu nipate pesa

Cc luambo makiadi
 
Vip kuna msanii wa kichaga au wa kasikazini anayeweza mfikia mtoto huyu wa kihaya Diana xavery clavery maarufu kama malaika Kwa
Sura
Shape
Sauti
Rangi
nk
NkView attachment 1157131View attachment 1157132
Huyu amekulia kwetu wewe Nshomile akapata maji ya Kilimanjaro akatakata. Tukamlisha kitimoto, mtori, kitawa, ndizi za kuchoma na nyama choma mtoto akatakata akapendeza ndo maana mtoto katulia kabisa sio nyinyi kina Nshomile majigambo kama yote. Yaani msanii aliyekulia kwetu tunamfundisha stadi za maisha anajua amuheshimu nani na aongeeje kwenye hadhira sio kama huyu Saida Karoli wenu alivyo machepere kila siku mara Kina Felician Muta etc etc
 
Mbona unatoka our of point.kwanza amesomea Tu huko Hilo haliondoi kuwa ni muhaya pure.
Vip huyo Lulu bila mama yake kuwa muhaya asingekuwa vile mara watoto wa kike hurithi Sana kutoka Kwa mama zao.

Vip kanumba mama yake asingekuwa muhaya sijui umaarufu angeutoa wap

Vip angela kairuki Mme wake asingekuwa muhaya sijui uwaziri angeutoa wap.

Vip lowassa mke wake asingekuwa muhaya sijui angekuwa sasa hiv

Vip slaa mke wake asingekuwa muhaya angekuwa wap sa hiv

Vip madam Rita si muhaya Yule

Vip lameck dito mama yake muhaya



Kwani nini wanawake wa kihaya wanaolewa hiv tena watu maarufu kuna Siri ipo ndani Yao.
Tafuta muhaya mkuu hutajuta.





Bado swali naomba ulete mrembo yoyote wa moshi anayeweza mfikia huyu malaika.
 
Hayo maji ya Kilimanjaro si ndo yanafanya Meno yenu yaungue na kuwa meusi.


Kwanza amesoma Tu kishule hapo kibosho girls Ila ni muhaya pure
 

Acha upunga.. best nasso hatumjui Mwanza. Unaogopa kutaja vichwa vya mwanza kama FID Q, kala jeremiah, Baraka, young killer, etc.
 
Hayo maji ya Kilimanjaro si ndo yanafanya Meno yenu yaungue na kuwa meusi.


Kwanza amesoma Tu kishule hapo kibosho girls Ila ni muhaya pure
Huku tuna maji ya bomba kila nyumba sijui ni sehemu gani ulishakuta Moshi hii kuna sehemu watu wanaenda chota maji na ndoo kichwani. Yaani yale mambo ya kuchota maji kichwani huku hakuna maji yanatoka mpaka migombani huku kwetu. Unashangaa watoto wa huko bukoba wanaenda chota maji maelfu ya kilomita kila siku moshi hatunaga hiyo adha

Tuna Kilimanjaro drinking water yanayopendwa Tanzania nzima kila vikao, sherehe, warsa etc lazima ukute kitu cha Kilimanjaro drinking water kitu kina pH 7 kamili bila kuyumba yumba.

Nilishaonaga picha yake kipindi anaanza Kibisho kalikuwa keusi ila alivyokuja kumaliza form 4 alikuwa keshanenepa na rangi ya mtume hiyo ndo Moshi kijana wangu sio huko kwenu Maji hakuna ya bomba, barabara hakuna za lami, ni Ukimwi nyinyi, Ngono nyinyi, Idd Amin nyinyi, tetemeko nyinyi, dah poleni sana

Moshi tuna wasanii wengi sana mpaka tunaumwa

Vanessa Mdee
Maua Samar
Malkia Caren
Rosa Ree
Aika wa Nahreel
Nandy
Mimi mars

Wengine nimewasahau maana ni machipukizi haya taja wa Bukoba kama sio huyo

Malaika
Saida Karoli
 
Kwa Anjela hapo nakataa hakunaga mhaya Mweupe sijawahi ona ni sawa na muha mweupe hayupo kabisa.

Mkapa kaoa Kilimanjaro

Majaliwa kaoa huku Kilimanjaro

Malechela naye kaoa mtoto wa kichaga

Harson Mwakyembe naye kaoa mchagga

Yaani ukioa Kilimanjaro huwi mapepe kabisa unatulia tuli sio kina Kaijage mapepe, Bashungwa mapepe, mama wa hela ya mboga, etc etc
 
Vanessa ,Mimi mars sio wa moshi ni wapare huko.


Vip kama mna maji masafi mbona Meno yenu yameungua.
 
Nitajie mhaya mmoja maarufu alieoa huko kwenu?
Wanawake wa kichaga hawafai kuolewa ndo maana hata mengi alikimbilia kigoma.

Nimesema Mme wake Angela kairuki .




Nitajie hata mwanamke mmoja anayeweza fikia hata robo ya utajiri wa tibaijuka.

Vip mama rwakatale mmiliki wa st Mary's.
Vip mmiliki wa tusiime
 
Acha uongo tumetoka kumzika mke wa mwakyembe juzi ni mnyakyusa mwenzake.
 
Huyo Mama hela ya chenchi ni mwizi, jambazi, fisadi na mlanguzi hela hizo hapana za wizi ilibidi azirudishe kisha tumsweke ndani

Kwani Jack ameolewa na Mengi unajua amepata nini yule alikuwa anamsogezea mzee maisha lakini hatapata keki ya IPP empire kabisa. Mali za Mengi ameshawapa watoto wake Regina na Abdieli. Jack hapati chochote zaidi ya zawadi maana sisi wachagga tunajijua aisehh

Nyumba magazi zote alizokuwa nazo mengi ni mali ya kampuni siku kampuni wakivitaka basi ujue mjane anarudi lala barabarabi.

Sisi ni akili kubwa sana tena sana maana mpaka sasa tulishakuwa tumejua nani kapata nini lakini kwa Jacky aandike maumivu makubwa hakuna share kwenye IPP labda wale mapacha wake maana Mengi alishaandika kila kitu na mwana sheria wake yule Michael Ngalu ndo anajua nani atapata nini

Usicheze kabisa na wachagga sisi ni akili nyingi na mikono yenu inafika popote achaneni na sisi sio size yenu nyie.

Anyway mimi sio mkabila na naoa yoyote ila mke lazima ajishughulishe sio kukata viuno maana hakunaga tuzo ya wakata viuno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…