Wasafi imemkosea nini Joh Makini?

Vanessa ,Mimi mars sio wa moshi ni wapare huko.


Vip kama mna maji masafi mbona Meno yenu yameungua.
Kuna kitu kinaitwa Fluorosis haya madini yamezidi kwenye maji tulishapata pesa ya kuziondoa kwenye maji ila Kikwete akala zile pesa mradi ukasimama. Isitoshe maji ya bomba huwa wanawekaga ile dawa flani compaund ya chlorine ambayo ina fluorides nyingi ndo sababu. Ila tukiweza punguza flouride basi tumeweza kupanmbana na meno ya dhahabu ila maji huku kwetu yamefika kila kijiji maji huku sio ya mgao
 
Nakucheka bure kumbe ndo maana nshomile wengi wanawadharau.

Kwanza umemsikia Jackie akiongea Leo? Hebu mfate Millard Ayo huko.



Hakuna mwanamke wa kichaga anayeweza kufikia cheo cha huyo mama tibaijuka kuwa UN vice secretary utamwita kila jina lakini ndo ishakuwa hivyo ni mwanamke wa Kwanza duniani kuwa UN vice secretary.
Na ni tajiri pia na tena tangia hata. wew hujawepo.


Vip ally mufuruki unamfahamu?
Huyu tajiri pekee aliyebaki top 10 mweusi tena muhaya!!!



Hata ukijiproud vip kaa ukijua kuna watu wanawadharau Sana na tabia na uwezo wenu WA kufikiri ulivyomdogo
 
Halafu mnatabia ya kuwabambikizia watu kesi ndo maana mnachukiwa
 
Ukiachana na ukabila huna point nyingine? Kuwa kiakili ndugu ukabila unakusaidia nn, yaani umeshindwa kutoka hata nje ya box mzee??

Kuna beef kati ya Wasafi Media na Clouds Media... Joh anapewa pande sana na clouds, Joh analinda maslai yake Clouds, akiwa karibu na Wasafi hatapewa airtime tena na Clouds na hata kwenye matamasha ya clouds Joh atatemwa nje.... So ni lazma Joh aweupande wa wenye nguvu ya industry ya music bongo....

Hayo mambo ya ukabila achana nayo ss hivi ww ni mtu mzima una ndefu hadi kiunoni
 
Embu waeleze mimi nachoka maana ukishaingia kwenye 'clash of the titan' lazima uchague upande ambao wewe unaona utashinda ni kama Brazil icheze mpira wa miguu na Korea Kaskazini alafu u side na Korea Kaskazini. If you fail to plan is you plan to fail.

Clous wameshatengeneza platform kubwa sana kuanzia wadau, maproducer, ma Dj sio ajabu ndo wamewatengeneza wao alafu aje kamtu kamvimbie.

Diamnond atambue kwamba kama anataka kufika mbali kwenye dunia ya leo lazima apate partner. Sasa analeta majidai ya kwao huko anavimba na kila mtu. Sasa wakikubania utalia maana Clous wakikunja misuli inamaana hutakuwa na fan base kwenye radio nyingine, majukwaa mfano Fiesta, Alex Msama promotion, Nyamachoma festival, Kili marathon etc. Diamond akibanwa kweli kweli nakuambia hatoboi kabisa.

Mimi nashangaa nyimbo za Diamond hit song kama Mbagala, Mawazo, Number one, etc. Number one ndo ilimletea kiburi ndo ikapeleka kama hit song Eneka, Iyena etc kuchuja haraka japo ni nyimbo nzuri

Daimond aache kiburi na ashirikiane na wengine sio maugomvi ya kijinga
 
Mkuu warembo wa Moshi kule miguu mironjo sana, na akicheka sasa kama kang'ata mavi, hata Millard ayo mama ake asingekuwa wa kanda ya ziwa asingefiia popote🤣🤣 wape vitu mkuu
 
Mkuuu Diamond hana ugomvi na mtu, clouds ndo wana ugomvi nae, masuala ya kulambana miguu miyeyusho, unajua clouds walivyofight jamaa asishiriki tuzo za Afrima, huu ni mwka wa tano clouds na IPP media zinabattle na jamaa kumletdown, mambo mengine yaishie tu mioyoni, na tuendelee na mengine, endelea kushabikia wasanii wako akina dogo janja, billnas, na weusi
 
Ila mbona Nick na Lord walienda pamoja na Gnako studio za wasafi
 
Hawa sio wasanii wangu kabisa usinisingizia. Mimi ni mpenzi wa mziki mzuri
 
Acha ushamba wee famba.
 
mkuu nyani aonagi kundule lake anaonaga ya wengine tu..
 
Zote takataka hizo mzee.
 
Hata chadema wakipewa nchi wataendekeza ukabila naona.

Tubaki na ccm tu
 
Acha uongo
mbona nikki wa 2 ameenda wasafi fm mara kwa mara na bado tunamuona anasikika clouds
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…