mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Anaitwa John Makini aka Mwamba Wa Kaskazini au Jay Z wa Arusha.
Huyu jamaa hataki kabisa kuwapa ushirikiano Wasafi Media. Daima anaikimbia mic ya Wasafi.
Akiitwa kwa ajili ya interview haendi.
Kufatwa hataki.
Alishakubarigi kwenda studio kwenye kipindi cha block 89 lakini dakika za mwisho akatoa udhulu.
Ni mtu anaeonekana hapendezwi na uwepo wa Wasafi.
Je ana shida gani na Wasafi?