Wasafi imemkosea nini Joh Makini?

Wasafi imemkosea nini Joh Makini?

mr gentleman

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,222
Reaction score
4,689
Anaitwa John Makini aka Mwamba Wa Kaskazini au Jay Z wa Arusha.

Huyu jamaa hataki kabisa kuwapa ushirikiano Wasafi Media. Daima anaikimbia mic ya Wasafi.

Akiitwa kwa ajili ya interview haendi.
Kufatwa hataki.

Alishakubarigi kwenda studio kwenye kipindi cha block 89 lakini dakika za mwisho akatoa udhulu.

Ni mtu anaeonekana hapendezwi na uwepo wa Wasafi.

Je ana shida gani na Wasafi?
 
Crew yote ya Arusha haipatani na wasafi huo ndo ukweli, wasanii karbia wote from kaskazin hasa Arusha au wenye asili ya huko, majamaa wana ukabila sana, na ndo mana huwez kuona Mond au wasafi wanalaunch show Arusha, labda atokee promota tokea pande hzo, na hii inachangizwa na Cloud Fm na wajinga wengine kama Efm,

Bdozen na Mchomvu wametokea chuga, ambao wana bifu kali Na Diamond, Bdozen na weusi +Joh Makini ni pete na kidole...

Mond kawakaba koo sana,
 
Crue yote ya Arusha haipatani na wasafi huo ndo ukweli, wasanii karbia wote from kaskazin hasa Arusha au wenye asili ya huko, majamaa wana ukabila sana, na ndo mana huwez kuona Mond au wasafi wanarunch show Arusha, labda atokee promota tokea pande hzo, na hii inachangizwa na Cloud Fm na wajinga wengine kama Efm,

ukweli mtupu
 
Wanarunch?? Hiyo nimeipenda aisee
 
Hapo kwenye ukabila umezingua sana

Nini maana ya ukabila? Hivi siku hizi tz tunaulizana ukabila kila tukikutana? Sijajua nini maana ya ukabila?
 
Ila Kilimanjaro na Arusha tuna wasanii wengi sana tena international kwelikweli kweli

Vanesaa Mdee
Maua Sama
Navy Kenzo
Whozu
Bilnass
Malkia Karen
Shaa
Nikki wa pili
Nako2Nako
Chin bee
Etc etc etc

Nyinyi kisa daimond kwao Kigoma mkaja na Kigoma all [emoji93], Ukienda mwanza msanii wao Best Nasso, mbeya msanii wao ni mr. Xmass etc etc. Nyinyi mkijikusanya wala sio ukabila lakini sisi tukimind our own business inakuwa ukabila, kunya anye kuku, akinya bata kaharisha.

Yeye daimond nyimbo zake sizisikii kwenye ITV, EATV etc sasa kwa nini na za Clous nazo zisikike huko kwa Daimond.
 
Hao wote wanazidiwa na harmonize wa mtwara
 
Ndio maana nikawaambia nyie ndo wabaguzi maana Harmonizer kwa vile kwao Mtwara basi kila mwanamtwara basi ni msanii wao hamuwaambii chochote. Kilimanjaro hatuna msanii wa kwetu njoo ukiza msanii gani wa nyumbani wanaompenda utawakosa ila nenda Mtwara-harmonizer
Mwanza-best naso
Mbeya-mr. Xmass
Morogoro-belle 9
Kilimanjaro- hamna hata mmoja
 
Hao wote wanazidiwa na harmonize wa mtwara

huyo harmonize mfanyeni Rais wenu awapunguzie umsikini walau kidogo au hilo ni kubwa sana, basi azalishe walau wasnii wengine hata 2 tu..Chugga itabaki kuwa Chugga tu miaka 20, 40,50 ijayo itakuwa hotspot ya wasanii wakali pamoja na swag, tukiungwa mkono na Clouds ya Wahaya, ..Wachagga na Wahaya tukiungana ni nani wa kutu stop?
 
Back
Top Bottom