Wasafi Media Mtegoni. Diamond, Kusaga wavurugana

kuna radio moja kule visiwani inaitwa Hitz fm inamilikiwa na huyo Mohammed maarafu kama Mohammed Kichwa, Pia ndio owner wa Zanzibar Cable, hivi karibuni mtoto wake mmoja alitekwa na kuuliwa hapa Dar picha zake zilitrend mitandaoni.
 
Yah,huyo huyo

Ova
 
Wewe huna unachokijua zaidi ya kukomalia kukumbatia ujinga tu. Wajinga wenzako wakipewa elimu tena ya bure huwa wanaipokea kwa mikono miwili, sasa wewe endelea kukaza mataco na ujinga wako.
Bora ya mjinga kuliko wewe mpumbavu. Nakushauri pitia thread yote kisha uje kuongea tena.
Usiwe unapaparika na comments za mwanzoni mwa uzi...
 
Mkumbusheni huyu binti wa taarifa akiongea awe na fact. Hii picture update ya jana. Diamond akiwa na familia ya kusaga.
Achelewi kujakusema hapa. Za ndaani kabisa. Wamepatana kwasababu ya mfungo.saiv anapokea simu.
 
View attachment 2951236
Umu watu wanalishwa sana matangopori, sometime tunawachora tu wanavyosukuma muda kuongea wasivyovifahamu πŸ˜…
 
Mkumbusheni huyu binti wa taarifa akiongea awe na fact. Hii picture update ya jana. Diamond akiwa na familia ya kusaga.
Achelewi kujakusema hapa. Za ndaani kabisa. Wamepatana kwasababu ya mfungo.saiv anapokea simu.
View attachment 2951236

Kwani ukiwa na ugomvi na mtu utadumu milee..

Na pia issue kama ugomvi zikivuja tena kwa business patners au watu wenye influence, publicists wao wanaweza kufanya juu chini kuonesha kila kitu kipo sawa kama damage control

Sisemi unachokisema si sawa ila haimaanishi alichokisema Nifah hakipo sawa pia. Vyote vinaweza kuwa sawa na vikara uongo pia
 
Hukuwa na haja ya kuandika boss. Mengine ukaushe basi. Au fatilia thread hii. Tusichoshane. Siijakurupuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…