Wasafi Media Mtegoni. Diamond, Kusaga wavurugana

Redio hiyo inamilikiwa na waziri mmmoja -----
Hizo frequency aliuziwa na smbdy mohamed mwenye zanzibar cable,hyo hyo alimuzia pia frequency mwenye mjini fm
Hyo mohamed mwanzoni alikuwaga na furaha fm na TV huko zenji
Ingia deep mfatilie hyo mwenye zanzibar cable utamjuwa hasa ni nani na harakati zake zilivyo
Kwa hiyo redio hyo ni ya waziri mmoja tena sahv yuko hot kweli kweli ......na redio hyo ya crown sjui kings anayeisimamia ni smbdy isy........
Kusaga hana umiliki hapo kabisa

Ova

kuna radio moja kule visiwani inaitwa Hitz fm inamilikiwa na huyo Mohammed maarafu kama Mohammed Kichwa, Pia ndio owner wa Zanzibar Cable, hivi karibuni mtoto wake mmoja alitekwa na kuuliwa hapa Dar picha zake zilitrend mitandaoni.
 
Yah,huyo huyo

Ova
 
Wewe huna unachokijua zaidi ya kukomalia kukumbatia ujinga tu. Wajinga wenzako wakipewa elimu tena ya bure huwa wanaipokea kwa mikono miwili, sasa wewe endelea kukaza mataco na ujinga wako.
Bora ya mjinga kuliko wewe mpumbavu. Nakushauri pitia thread yote kisha uje kuongea tena.
Usiwe unapaparika na comments za mwanzoni mwa uzi...
 
Mkumbusheni huyu binti wa taarifa akiongea awe na fact. Hii picture update ya jana. Diamond akiwa na familia ya kusaga.
Achelewi kujakusema hapa. Za ndaani kabisa. Wamepatana kwasababu ya mfungo.saiv anapokea simu.
Screenshot_20240402-075703~2.png
 
Mkumbusheni huyu binti wa taarifa akiongea awe na fact. Hii picture update ya jana. Diamond akiwa na familia ya kusaga.
Achelewi kujakusema hapa. Za ndaani kabisa. Wamepatana kwasababu ya mfungo.saiv anapokea simu.
View attachment 2951236
Umu watu wanalishwa sana matangopori, sometime tunawachora tu wanavyosukuma muda kuongea wasivyovifahamu 😅
 
Mkumbusheni huyu binti wa taarifa akiongea awe na fact. Hii picture update ya jana. Diamond akiwa na familia ya kusaga.
Achelewi kujakusema hapa. Za ndaani kabisa. Wamepatana kwasababu ya mfungo.saiv anapokea simu.
View attachment 2951236

Kwani ukiwa na ugomvi na mtu utadumu milee..

Na pia issue kama ugomvi zikivuja tena kwa business patners au watu wenye influence, publicists wao wanaweza kufanya juu chini kuonesha kila kitu kipo sawa kama damage control

Sisemi unachokisema si sawa ila haimaanishi alichokisema Nifah hakipo sawa pia. Vyote vinaweza kuwa sawa na vikara uongo pia
 
Hukuwa na haja ya kuandika boss. Mengine ukaushe basi. Au fatilia thread hii. Tusichoshane. Siijakurupuka
 
Back
Top Bottom