Wasafi Media Mtegoni. Diamond, Kusaga wavurugana

Wewe kama unabisha bisha ila TCRA freqiency zipo nina uhakika na ninacho kiongea.
 
Hapo kwenye Frequencies Umeniacha,
Nijuavyo zinakua generated anytime mtu aliyekizi vigezo akihitaji...

Frequencies sio kifaa, ni mawimbi tuu, ambayo yatahitaji kifaa kama alternator kugenerate, transmitter kusafirisha kwenda kwenye receiver(antena)..., hio transmission hapo haitofautiani na simu inavyofanya kazi

Hivyo ni Sawa na kusema, Huwezi kuongea na Simu maana mawimbi yako kuna mtu anayamiliki, inakuja hio?
 
Umepaniki? Hayo sio mambo madogo kwenye uandishi,acha kufosi kosa lionekane sio kosa,

Ujumbe sahihi hufikishwa kwa lugha sahihi.
Idara ya habari Ikulu wanakosea ijekuwa mimi? Wala siwezi kupanic, ndio maana nikakuambia ni mambo madogo hayo.

Halafu sio katika habari kuu, ilikuwa tu ni post namjibu mtu.
 
Wanakwambia kuna watu wamezimaliza,kwa jinsi technologies zilivyo sophisticated yaani umalize frequency.Bora ww umeiweka kielectronics zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…