Wasafi Media Mtegoni. Diamond, Kusaga wavurugana

Wasafi Media Mtegoni. Diamond, Kusaga wavurugana

Kukosea kila mtu anakosea ila respond yako kwangu ilikua ni ya kipumbavu,ungekubali kua umekosea na sio kuanza kujitutumua,

Unafananisha Habari ya Idara ya habari Ikulu na comment ya JF? baada ya kuona kua umekosea si unge edit tu kuliko kujifanya mjuaji na kunijibu kifedhuli?
Kukosea kupo but kama umeelewa unakausha tu,mbona wewe umekosea kwa kuandika "respond" badala ya "responce"?
 
Kuna mkataba ambao Ndomo kaingia na madon fulani huko SA na mkataba huo unamfanya akose umiliki wa mpaka social medias zake. Sasa amesalia kuwa na unverified accounts na inabidi kila release atoe kupitia kolabo.

Alifurahia bilioni zile alizoingiziwa ktk akaunti lakini hakujua kuwa vitamfanya awe mtumwa baadaye.

Hana raha na maisha ya kujitapa anayapenda. Lazima akwepe kodi
Ziiki Media
 
Mimi nalifahamu tokea 2017 na sio kwa habari za kusikia, ni suala ambalo tulilifuatilia wenyewe.

Watu wanaleta ujuaji wa mambo ya darasani wakati hapa tunaongelea uhalisia.
Hahahahaha..clouds plus ilikuaje joe akaporwa jina? Na vipi kuhusu zbc 2 ..najua utakua unazo za chini ?
 
Hiyo Paragraph ya mwisho uwongo,Frequency ni mali ya TCRA yy ndiye anaye panga na kuengineer na ukitaka nenda pale TCRA Frequency bado wanazo na ukimzingua anakunyang'anya Frequency zake.
Ni kama useme ardhi ni mali ya umma ila serikali inaweza kumpokonya mmiliki.
 
Back
Top Bottom