Wasafi Media na anguko la East Africa Radio

Wakati unakuza vipaji biashara inakusubiri?
Kama ameamua kufanya biashara acha achanganye damu apige hela vipaji vitakuzwa na awa wazee aliochukua.
 
Hao wote uliowataja, kuna watu wanawatolea macho ni suala la muda tu
 
Huu usajili wanao ufanya Wasafi ni mzuri sana kwa mashabiki wa WCB,usajili huu unafanywa kukomoa pande flani,wata tisha kwa muda ila mshindi atakuja aonekane tu,hawa akina kitenge na kumwembe wana majina makubwa ila hawana jipya kwenye tasnia hii,Wasafi wange deal na talent mpya huku kitaani zimejaa,Diamond asifikiri Media ni kama game la music.
 
Young talent ukiangalia kipindi cha Block89 wote wale ni young talent tena kuna Media zingine waliwaona hawafai ni makapi, kama Jonijo Times alikuwa kama yupoyupo, Calipso, Kissfm waliona hana jipya akaenda Lakefm, akaenda Times, mara Classic fm, hatimae wanaojua kujali wamemuona
 
kupika watu wapya bila kuwa na malegend wa kuwaonyesha njia vijana huwez kutoboa,Charles hillary mkongwe wa vikongwe katoka BBC kasajiliwa Azam na anafanya vyema sana na kuwafundisha vijana wapya what to do in biznez....acha roho mbaya mkuu
 
Nakuona msikilizaji kindakindaki wa EA radio
 
Mkuu wapo wanaopikwa sema katika safari hiyo ya talanta mpya nilazima pawepo na wakongwe wakuonesha njia

kama soka tu,kwa mfano la masia inapika akina Ansu Fati,Huku wakati huo huo wazoefu kama akina Griezman Wanasajiliwa
 
RFA imezalisha watangazaji wengi sana ambao kwa sasa ni maarufu, hadi leo ipo haijawahi kuanguka japo hata wafanyakazi hawalipwi kwa wakati lkn radio ipo inadunda tu, hata EA radio haitaanguka
 
Mmmmh hii ni mpya kwangu coz cjasikiliza Earadio karibia n mwaka sasa hii habari ya zembwela kutokuwapo Ea radio ni la kweli...?
nimeacha ubishi ila naomba hili nidhibitishiwe coz kunamambo yaliongelewa kuhusu Harmo ckucomment chochote japo moyon nilibisha ila leo nimethibitisha.
Na vp kuhusu Jr junior na king smash. Ikiwa ni kweli Ea watakuwa wameferi na kweli kuanguka kupo.
 
hata hao tunaowaona wakubwa walipikwa na wakubwa ko uwepo wa akina kitenge utazalisha vijana wengine ambao watajifunza kupitia hao wakubwa
kama unafuatilia clouds kuna akina prisca kishamba hawajajitokeza tu na kufanya wanachokifanya ila walianzia chini na kuingi taratibu kwenye mfumo

Czan kama ningekuwa tayari kumpa sikio langu mtu from know where eti coz yupo clouds hii ni biasha inaenda na brand ya mtu pia uwapo wa akina shafii ndio uliowainua akina Coutinho na wengine tunaowasikia clouds hata akina mumy baby
 
Wewe kwenye maisha yako binafsi umefanya nini cha maana chenye kugusa jamii mbali na ku diss idea za wengine ?
 
Hivi hao wanaohama hama kwamba wanafuata maslahi ,ebu tuambiane ni maslahi gani? Hivi kuna mtangazaji anakinga 2m kwa mwezi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…