EFM na wasafi media wametofautiana tarehe ya kuzaliwa tu lakini baba ni mmoja na mama yao mmoja!
Wafanyakazi wanakula kwa bamdogo wanalala kwa shangazi!
Mikataba yao ni copy and paste!
Mwaka mmoja kulala kwa shangazi, mwaka mwingine tunarudi kwa bamdogo maisha yanasonga cha muhimu ni kuwa na backup! Moja itambeba mwenzake!
Ingekuwa wameprint bango Leo upande mmoja ungesomeka "KWAHERI KITENGE EFM" na upande wa pili ungesomeka "KARIBU KITENGE WASAFI"