lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,557
- 3,221
Kwa hiyo usiposikiliza radio ndio unakuwa mtu wa maana au vipi?Duh! Kumbe Kuna watu wana muda wa kusikiliza redio pamoja na vipindi vyote🤔
Kwani ni dhambi Mkuu au ni makosa?Duh! Kumbe Kuna watu wana muda wa kusikiliza redio pamoja na vipindi vyote[emoji848]
Yaani Mkuu wanafanya Bora liende tu....Matangazo ndio ni muhimu ila timing...na kumuacha Anayehojiwa atapike kilichompeleka .....hata kama unamkatiza unatumia technique in a way isionekane hii Clouds wanajitahidi Wasafi waoHii ni kweli kabisa
Ni moja ya madhaifu makubwa sana ya Wasafi Fm
Kuna siku ilikuwa Mamá Samia anaenda kuzindua kiwanja cha magari Kigamboni
So Wasafi fm wakawa wanamu-interview RC Chalamila kuelezea mambo mbalimbali ya kimaendeleo DSM hasa Wilaya ya Kigamboni, aisee katikati ya mazungumzo RC akitiririka wakakatisha na kupiga matangazo yao ya anakuja bwana swala ( Precisión Air) na mengineyo
Waliporudi hewani moja kwa moja wakahamia kusoma magazeti na interview ikawa imefia pale
Nilikereka sana sana
Kupanga ni kuchagua ni vzr pia mkuuNina miaka zaidi ya7 sijawahi sikiliza radio tofaut na kuziona media hizi mtandaon
HakikaKupanga ni kuchagua ni vzr pia mkuu
Me toka 2014...habar ntazipata bbc online dw RT na al Jazeera online....mziki najipangia mwenyew sio chaguo la dj...habar nyingine jamii forum inatoshaNina miaka zaidi ya7 sijawahi sikiliza radio tofaut na kuziona media hizi mtandaon
Uhakika aseeMe toka 2014...habar ntazipata bbc online dw RT na al Jazeera online....mziki najipangia mwenyew sio chaguo la dj...habar nyingine jamii forum inatosha
Ulikereka kumsikiliza chalamila hahahaHii ni kweli kabisa
Ni moja ya madhaifu makubwa sana ya Wasafi Fm
Kuna siku ilikuwa Mamá Samia anaenda kuzindua kiwanja cha magari Kigamboni
So Wasafi fm wakawa wanamu-interview RC Chalamila kuelezea mambo mbalimbali ya kimaendeleo DSM hasa Wilaya ya Kigamboni, aisee katikati ya mazungumzo RC akitiririka wakakatisha na kupiga matangazo yao ya anakuja bwana swala ( Precisión Air) na mengineyo
Waliporudi hewani moja kwa moja wakahamia kusoma magazeti na interview ikawa imefia pale
Nilikereka sana sana
Sijakuelewa Mkuu yaani unataka Chizi akajifunze kwa Mwendawazimu au?Mimi ni msikilizaji mzuri wa radio mbalimbali ikiwamo Wasafi Fm.
Vipindi karibuni vyote kama Wasafi fm ukikuta wanamu_interview mtu au msanii huwa wanaboa sana wanajidai wanajua kwenda Kwa muda...lkn Sasa hawajui right timing.....mtu anakatishwa maongezi kama anagongwa na gari haileti ladha na Kuna lijingle huwa linawekwa....matangazo ni muhimu ila right timing ...msikilizaji asigundue hebu kajifunzeni kutoka Leo Tena ya clouds na power breakfast.....mnafeli wapi?
Nafikiri hili ni janga kwa waandishi wa sasa maybe kwenye siasa na udaku/mapenzi lkn kwamaswali ya maendeleo au yakumfanya anaeulizwa apate kufikiri zaidi ni ngumu sana hawana uwezo wa kufanya tafiti nzuri kabla ya kipindi au kuuliza maswali magumu,wapo km wanatimiza tu wajibu wakua sehemu husikaMimi ni msikilizaji mzuri wa radio mbalimbali ikiwamo Wasafi Fm.
Vipindi karibuni vyote kama Wasafi fm ukikuta wanamu_interview mtu au msanii huwa wanaboa sana wanajidai wanajua kwenda Kwa muda...lkn Sasa hawajui right timing.....mtu anakatishwa maongezi kama anagongwa na gari haileti ladha na Kuna lijingle huwa linawekwa....matangazo ni muhimu ila right timing ...msikilizaji asigundue hebu kajifunzeni kutoka Leo Tena ya clouds na power breakfast.....mnafeli wapi?
Ulikereka kumsikiliza chalamila hahaha
Clouds Wana matangazo mengi Mkuu ila Kuna namna angalau wao namna watakatiza maongezi /mahojiano haitakuboa sana.Sijakuelewa Mkuu yaani unataka Chizi akajifunze kwa Mwendawazimu au?