Wasafi Radio hili kajifunzeni Clouds.

Wasafi Radio hili kajifunzeni Clouds.

lulu za uru

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2015
Posts
2,557
Reaction score
3,221
Mimi ni msikilizaji mzuri wa radio mbalimbali ikiwamo Wasafi Fm.
Vipindi karibuni vyote kama Wasafi fm ukikuta wanamu_interview mtu au msanii huwa wanaboa sana wanajidai wanajua kwenda Kwa muda...lkn Sasa hawajui right timing.....mtu anakatishwa maongezi kama anagongwa na gari haileti ladha na Kuna lijingle huwa linawekwa....matangazo ni muhimu ila right timing ...msikilizaji asigundue hebu kajifunzeni kutoka Leo Tena ya clouds na power breakfast.....mnafeli wapi?
 
Hii ni kweli kabisa
Ni moja ya madhaifu makubwa sana ya Wasafi Fm

Kuna siku ilikuwa Mamá Samia anaenda kuzindua kiwanja cha magari Kigamboni
So Wasafi fm wakawa wanamu-interview RC Chalamila kuelezea mambo mbalimbali ya kimaendeleo DSM hasa Wilaya ya Kigamboni, aisee katikati ya mazungumzo RC akitiririka wakakatisha na kupiga matangazo yao ya anakuja bwana swala ( Precisión Air) na mengineyo
Waliporudi hewani moja kwa moja wakahamia kusoma magazeti na interview ikawa imefia pale

Nilikereka sana sana
 
Yaani Mkuu wanafanya Bora liende tu....Matangazo ndio ni muhimu ila timing...na kumuacha Anayehojiwa atapike kilichompeleka .....hata kama unamkatiza unatumia technique in a way isionekane hii Clouds wanajitahidi Wasafi wao
hawajal Bado sana..
 
Hii ni kweli kabisa
Ni moja ya madhaifu makubwa sana ya Wasafi Fm

Kuna siku ilikuwa Mamá Samia anaenda kuzindua kiwanja cha magari Kigamboni
So Wasafi fm wakawa wanamu-interview RC Chalamila kuelezea mambo mbalimbali ya kimaendeleo DSM hasa Wilaya ya Kigamboni, aisee katikati ya mazungumzo RC akitiririka wakakatisha na kupiga matangazo yao ya anakuja bwana swala ( Precisión Air) na mengineyo
Waliporudi hewani moja kwa moja wakahamia kusoma magazeti na interview ikawa imefia pale

Nilikereka sana sana
Ulikereka kumsikiliza chalamila hahaha
 
Mimi ni msikilizaji mzuri wa radio mbalimbali ikiwamo Wasafi Fm.
Vipindi karibuni vyote kama Wasafi fm ukikuta wanamu_interview mtu au msanii huwa wanaboa sana wanajidai wanajua kwenda Kwa muda...lkn Sasa hawajui right timing.....mtu anakatishwa maongezi kama anagongwa na gari haileti ladha na Kuna lijingle huwa linawekwa....matangazo ni muhimu ila right timing ...msikilizaji asigundue hebu kajifunzeni kutoka Leo Tena ya clouds na power breakfast.....mnafeli wapi?
Sijakuelewa Mkuu yaani unataka Chizi akajifunze kwa Mwendawazimu au?
 
Mimi ni msikilizaji mzuri wa radio mbalimbali ikiwamo Wasafi Fm.
Vipindi karibuni vyote kama Wasafi fm ukikuta wanamu_interview mtu au msanii huwa wanaboa sana wanajidai wanajua kwenda Kwa muda...lkn Sasa hawajui right timing.....mtu anakatishwa maongezi kama anagongwa na gari haileti ladha na Kuna lijingle huwa linawekwa....matangazo ni muhimu ila right timing ...msikilizaji asigundue hebu kajifunzeni kutoka Leo Tena ya clouds na power breakfast.....mnafeli wapi?
Nafikiri hili ni janga kwa waandishi wa sasa maybe kwenye siasa na udaku/mapenzi lkn kwamaswali ya maendeleo au yakumfanya anaeulizwa apate kufikiri zaidi ni ngumu sana hawana uwezo wa kufanya tafiti nzuri kabla ya kipindi au kuuliza maswali magumu,wapo km wanatimiza tu wajibu wakua sehemu husika
 
Kiukweli wanakera Sana, Kukatisha Interview ya MTU si mbaya kama kuna jambo LA msingi Ila wao hakuna habari au kitu kikakamilika bila kukatisha na kuweka Tangazo muda mwingine Wanamkatisha then utasikia 88.9 Wasafi FM Lindi...
Sema ndio hivyo tunavilimilia tu Ila wakiboresha kwenykwenye ili Eneo watatisha Sana.. Na kwa mbali naona Crown FM wanawasomba watangazaj kutoka Wasafi sasa ninachokiona lazima watacopy huu Ujinga..
 
Back
Top Bottom