lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,557
- 3,221
Mimi ni msikilizaji mzuri wa radio mbalimbali ikiwamo Wasafi Fm.
Vipindi karibuni vyote kama Wasafi fm ukikuta wanamu_interview mtu au msanii huwa wanaboa sana wanajidai wanajua kwenda Kwa muda...lkn Sasa hawajui right timing.....mtu anakatishwa maongezi kama anagongwa na gari haileti ladha na Kuna lijingle huwa linawekwa....matangazo ni muhimu ila right timing ...msikilizaji asigundue hebu kajifunzeni kutoka Leo Tena ya clouds na power breakfast.....mnafeli wapi?