Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
- Thread starter
-
- #61
kwani baba levo anatangaza vipindi vyote, na je wewe unaweza uka kaa asubuhi mpaka jioni unawasikiliza kina mwijaku na soudbrown...? [emoji23][emoji23][emoji23] WASAFIMEDIA BABA LAO[emoji3514]Wasafi namba moja sijui kwa vipindi.. Sio radio sio TV,wasafi bado Sana kuikuta clouds.. Hivi wewe unayeshabikia unaweza kukaa na wasafi yako asubuhi mpaka jion unawasikiliza?? Kina baba revo?
Hahahahahaa uzur wote watu wa kuleeeehapana Mimi ni abdulkibamia[emoji23][emoji23][emoji23]
sawa juma lokoleHahahahahaa uzur wote watu wa kuleeee
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 daaaah tusiiii kubwaa sanaaasawa juma lokole
mbona Hilo ni jina na sio tusi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaaah tusiiii kubwaa sanaaa
nimekwambia Mimi M. O. B (member of board). WASAFIHivi hao Wasafi huwa hawana nafasi za uteuzi mleta mada anajituma sana jamani.
hahahakaukuna member of board mwenye muandiko huu.nimekwambia Mimi M. O. B (member of board). WASAFI
ok by the way endelea kukaza fuvu , maana inaonekana kuwa wote jf member unajua wanachofanyaga.hahahakaukuna member of board mwenye muandiko huu.
Nitaongea na mtu imara japo wakuteuwe uwe mbeba pochi wa lavalava.
kwa kweli dogo wasafi wakuteuwe unapambana saana hapa jamvini.ok by the way endelea kukaza fuvu , maana inaonekana kuwa wote jf member unajua wanachofanyaga.
tuendelee kuchukuliana poa mpaka ntakapo kupa connection za job[emoji23][emoji23][emoji23]kwa kweli dogo wasafi wakuteuwe unapambana saana hapa jamvini.
hakunaga huruma kwenye biashara sawa dogo, there is rise for strong empire and fall for the weak empire [emoji3514][emoji3514][emoji3514][emoji122]For one to rise, the other should fail. There is no co-winning in Tanzania.
Inasikitisha sana Tanzania yangu.
unapoizungumzia WASAFI MEDIA ndani yake kuna WASAFI RECORDS STUDIO, ZOOM EXTRA, WASAFI LABEL, WASAFI RADIO & TV, KUNA TAMASHA na nk... sasa hapo mmiliki utasema ni mwenye share ya wasafi radio & tv au DIAMOND? wengi wanaolazimisha kupotosha ukweli ni haters hivo mkuu usihangaike nao.wamekereka[emoji3514]
Ila shosti ukweli ndio huo, media zote za kusaga, ila shosti dai angekupa hata kanafas madale ka kuosha vyombotatizo mnafuata sana (udaku),yaani mkisikia mange kimambi amesema na nyie mnatega masikiao[emoji23][emoji23][emoji23],WASAFITV ni ya DIAMOND PLATINUMZ THE KING OF TANZANIA MUSIC, nimeandika kwa herufi kubwa ili USIRUDIE pumba zako.
Ok siwezi kukujibu, username inakutambulisha kama sijakosea ni MUHA wana asili ya ubishi, maana mrangi alishakujibu mgawanyo wa HISA ulivyo lakini still unaleta ubishi.how sure are you...? maana hamtaki kukubali kuwa Diamond platinumz anamiliki WASAFIMEDIA
Mnachotakiwa kujua ni kwamba,bila brand ya WASAFI ambayo kimsingi ni ya diamond platinumz hakuna WASAFI TV wala WASAFI FM, kufanikiwa kwa hiyo media wala si swala la pesa. Leo hii Diamond akisema atoe hizo hisa zake ambazo nyinyi mnaziona ni ndogo pamoja na brand yake alafu akae kando, WASAFI MEDIA inaanguka ndani ya muda mchache tu 😂(Mnafikiri kuanzisha redio ni pesa tu🤔)Huyo ndiye mke wa Kusaga aitwae Juhayna Zaghalulu Ajmy anayemiliki 53% ya hisa za Wasafi.
Hebu wewe tutajie hapa Diamond anamiliki % ngapi ya hisa hapo wasafi na sisi tuweke walichokisema TCRA khs wamiliki wa wasafi.
Msalimie Dada ako Mange.View attachment 1633736
fact kaka anguunapoizungumzia WASAFI MEDIA ndani yake kuna WASAFI RECORDS STUDIO, ZOOM EXTRA, WASAFI LABEL, WASAFI RADIO & TV, KUNA TAMASHA na nk... sasa hapo mmiliki utasema ni mwenye share ya wasafi radio & tv au DIAMOND? wengi wanaolazimisha kupotosha ukweli ni haters hivo mkuu usihangaike nao.
nani shosti yako ebooooohShosti nikajua umepitwa na hii habari