Wasafi TV imezipiga bao TV zote nchini, Tumewasha Tigo Tour na anguko la Tigo Fiesta

Wasafi TV imezipiga bao TV zote nchini, Tumewasha Tigo Tour na anguko la Tigo Fiesta

Wasafi namba moja sijui kwa vipindi.. Sio radio sio TV,wasafi bado Sana kuikuta clouds.. Hivi wewe unayeshabikia unaweza kukaa na wasafi yako asubuhi mpaka jion unawasikiliza?? Kina baba revo?
kwani baba levo anatangaza vipindi vyote, na je wewe unaweza uka kaa asubuhi mpaka jioni unawasikiliza kina mwijaku na soudbrown...? [emoji23][emoji23][emoji23] WASAFIMEDIA BABA LAO[emoji3514]
 
For one to rise, the other should fail. There is no co-winning in Tanzania.

Inasikitisha sana Tanzania yangu.
 
For one to rise, the other should fail. There is no co-winning in Tanzania.

Inasikitisha sana Tanzania yangu.
hakunaga huruma kwenye biashara sawa dogo, there is rise for strong empire and fall for the weak empire [emoji3514][emoji3514][emoji3514][emoji122]
 
wamekereka[emoji3514]
unapoizungumzia WASAFI MEDIA ndani yake kuna WASAFI RECORDS STUDIO, ZOOM EXTRA, WASAFI LABEL, WASAFI RADIO & TV, KUNA TAMASHA na nk... sasa hapo mmiliki utasema ni mwenye share ya wasafi radio & tv au DIAMOND? wengi wanaolazimisha kupotosha ukweli ni haters hivo mkuu usihangaike nao.
 
tatizo mnafuata sana (udaku),yaani mkisikia mange kimambi amesema na nyie mnatega masikiao[emoji23][emoji23][emoji23],WASAFITV ni ya DIAMOND PLATINUMZ THE KING OF TANZANIA MUSIC, nimeandika kwa herufi kubwa ili USIRUDIE pumba zako.
Ila shosti ukweli ndio huo, media zote za kusaga, ila shosti dai angekupa hata kanafas madale ka kuosha vyombo
 
Huyo ndiye mke wa Kusaga aitwae Juhayna Zaghalulu Ajmy anayemiliki 53% ya hisa za Wasafi.

Hebu wewe tutajie hapa Diamond anamiliki % ngapi ya hisa hapo wasafi na sisi tuweke walichokisema TCRA khs wamiliki wa wasafi.

Msalimie Dada ako Mange.View attachment 1633736
Mnachotakiwa kujua ni kwamba,bila brand ya WASAFI ambayo kimsingi ni ya diamond platinumz hakuna WASAFI TV wala WASAFI FM, kufanikiwa kwa hiyo media wala si swala la pesa. Leo hii Diamond akisema atoe hizo hisa zake ambazo nyinyi mnaziona ni ndogo pamoja na brand yake alafu akae kando, WASAFI MEDIA inaanguka ndani ya muda mchache tu 😂(Mnafikiri kuanzisha redio ni pesa tu🤔)

Hata hivyo asilimia za hisa anazozidiwa diamond na huyo mke wa kusaga hazizidi hata 10%.Kwahiyo chukua Hisa anazo miliki Mond pale Wasafi media + Brand yake= MOND NDIO MKUBWA PALE WASFI MEDIA.Kama kweli ni swala la pesa na akili za Kusaga,mbona clouds inamfia mkononi mwake?😂


NB:Ukuaji wa kasi wa WASAFI media kwa asilimia 50%unategemea brand na mashabiki aliyojitengenezea Mond. Ndiomaana hata nyinyi mnaoiponda WASAIFI hamuwezi kuwa mashabiki wa Mond.
 
unapoizungumzia WASAFI MEDIA ndani yake kuna WASAFI RECORDS STUDIO, ZOOM EXTRA, WASAFI LABEL, WASAFI RADIO & TV, KUNA TAMASHA na nk... sasa hapo mmiliki utasema ni mwenye share ya wasafi radio & tv au DIAMOND? wengi wanaolazimisha kupotosha ukweli ni haters hivo mkuu usihangaike nao.
fact kaka angu
 
Back
Top Bottom