Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
- Thread starter
- #61
kwani baba levo anatangaza vipindi vyote, na je wewe unaweza uka kaa asubuhi mpaka jioni unawasikiliza kina mwijaku na soudbrown...? [emoji23][emoji23][emoji23] WASAFIMEDIA BABA LAO[emoji3514]Wasafi namba moja sijui kwa vipindi.. Sio radio sio TV,wasafi bado Sana kuikuta clouds.. Hivi wewe unayeshabikia unaweza kukaa na wasafi yako asubuhi mpaka jion unawasikiliza?? Kina baba revo?