Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
- Thread starter
- #121
uwezi elewa kijana endelea na timu zakoSawa ko usomi sijui ulikuwa unamaanisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uwezi elewa kijana endelea na timu zakoSawa ko usomi sijui ulikuwa unamaanisha
fact kaka yanakaza ubungoAliekwambia Kusaga ndio mmiliki wa wasafi nani? Kusaga mwenyew kashasema yeye sio mmiliki...ndo yale yale ya Magu kukataa kuongeza miaka..ila makada wanatia upepo tu
achana nao MBUGIRA hao[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi mwenye Hisa na Mwenye Brand nani sasa boss? Huyo kusaga kama hisa ndo kila kitu basi akafungue Kondegang fm uone...hisa mbele ya brand haifui dafu...sjui kwann hamtaki kukubali...
Diamond hapo anamiliki hisa na anamiliki brand so nani boss hapo[emoji3]
Bora kukaza ubungo kuliko kukaza kota pin.fact kaka yanakaza ubungo
fact kakaUnachoshindwa kujua brand ndo kila kitu kuliko hizo hisa...kusaga atoe hisa zake uone kama wasafi itakufa...apeleke hizo hisa Star tv [emoji3]
Wasafi ni brand kubwa investors wote wnaitolea macho
fact kaka big upAna hisa na anamiliki brand ya wasafi kwa 100% ..hisa bila brand basi star tv wangekua wakubwa...ni sawa leo hii ukamiliki kampuni ya Apple kwa 75 percent ndio ujione mkubwa kuliko brand ya apple yenyew [emoji3]
wape vidonge vyaoSasa mke wa kusaga ndo kusaga? Hivi tukienda mahakani utamsimamisha kusaga? Haya mambo ni legal sio story za vijiwen...
factNdio kichaka wanachojifichia..nililiona hilo kabla uzi haujapata comment hata 1[emoji3]
Naelewa mwenye hisa nyingi ndio mwenye nguvu,ila hizo 43% zinamtosha,jamaa amepiga hatua akiwa na umri mdogoUngejua maana ya Controlling Interest(CI) vs Non Controlling Interest(NCI) ungejua ni kwanini wababe hua wanakimbilia kumiliki 51%+ na sio chini ya hapo.
sitaki taarifa nataka kuona seal(muhuri)wa TCRA ndo ntakuamini hizo taarifa za Google wadanganye MBUGIRA wenzako. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
huyo ni MBUGIRA achana naeHahahaha sasa hapo fact ziko wapi mzee, asilimia 43 na brand name unachukulia poa. Kasome jinsi hizi biashara zinavyoendeshwa na pia jaribu kutafuta maana ya hisa ili upate somo kidogo
factMwandishi hajasema hata kidogo eti The fall of Jose Kusaga!
Jamaa kasema The fall of clouds!!
Sasa mambo ya kusaga anamiliki nini sijui yanatoka wapi sijui!!
Inawezekana kweli kusaga ni sehemu ya wamiliki wa Wasafi media 'kama utakavyo' lakini hiyo haizuii biashara yake nyingine kufa!!!
Be positive!!
yeahKwahio Kusaga ataua biashara yake 1 na kuinua biashara yake 1 nyingine sio?
tuseme ni mkeo Basi Tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Basi tufanye mke wa kisaga ni mkeo aisee.
na wewe unajua maana ya branding interest lakini..?'Unachoshindwa kujua brand ndo kila kitu kuliko hizo hisa'
Hahah unajua maana ya Controlling Interest lkn?
kwakweli wanachekesha sana[emoji23][emoji23][emoji23]Wabongo wakidiscuss mambo kwa IQ ya level za chini kabisa..
mmiliki halali ni Diamond platinumz the greatNakubali itakua basi Mmiliki ni Mchungaji Gwajima.
nilimbugira Hilo afu li team kibamiaKo wewe unaona 43 ni ndogo
Mpk Utopolo Interest najua.na wewe unajua maana ya branding interest lakini..?
fact Diamond platinumz BABA LAOBiashara huui mwenyewe bro! Au huui kwa kupenda!!
Upepo unaelekea Wasafi media kwa sasa na hii sio kwa amri yake ni Mungu tu!
So endapo Wasafi inafanikiwa na Clouds inafifia hatusemi kuwa Joe ndie anaua moja na kukuza nyingine!
Kubali kuwa Mondi ni nyota ing'aayo mno wakati huu hivyo kama Jose katia hela Wasafi "kama unavyofosi" hiyo haibadilishi kuwa Mondi ni nouma!! Mondi ni amefanikiwa sana kama kijana mdogo kabisa!!