Wasafi TV imezipiga bao TV zote nchini, Tumewasha Tigo Tour na anguko la Tigo Fiesta

Wasafi TV imezipiga bao TV zote nchini, Tumewasha Tigo Tour na anguko la Tigo Fiesta

Hivi mwenye Hisa na Mwenye Brand nani sasa boss? Huyo kusaga kama hisa ndo kila kitu basi akafungue Kondegang fm uone...hisa mbele ya brand haifui dafu...sjui kwann hamtaki kukubali...

Diamond hapo anamiliki hisa na anamiliki brand so nani boss hapo[emoji3]
achana nao MBUGIRA hao[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unachoshindwa kujua brand ndo kila kitu kuliko hizo hisa...kusaga atoe hisa zake uone kama wasafi itakufa...apeleke hizo hisa Star tv [emoji3]
Wasafi ni brand kubwa investors wote wnaitolea macho
fact kaka
 
Ana hisa na anamiliki brand ya wasafi kwa 100% ..hisa bila brand basi star tv wangekua wakubwa...ni sawa leo hii ukamiliki kampuni ya Apple kwa 75 percent ndio ujione mkubwa kuliko brand ya apple yenyew [emoji3]
fact kaka big up
 
Ungejua maana ya Controlling Interest(CI) vs Non Controlling Interest(NCI) ungejua ni kwanini wababe hua wanakimbilia kumiliki 51%+ na sio chini ya hapo.
Naelewa mwenye hisa nyingi ndio mwenye nguvu,ila hizo 43% zinamtosha,jamaa amepiga hatua akiwa na umri mdogo
 
Mwandishi hajasema hata kidogo eti The fall of Jose Kusaga!
Jamaa kasema The fall of clouds!!

Sasa mambo ya kusaga anamiliki nini sijui yanatoka wapi sijui!!

Inawezekana kweli kusaga ni sehemu ya wamiliki wa Wasafi media 'kama utakavyo' lakini hiyo haizuii biashara yake nyingine kufa!!!
Be positive!!
fact
 
Biashara huui mwenyewe bro! Au huui kwa kupenda!!
Upepo unaelekea Wasafi media kwa sasa na hii sio kwa amri yake ni Mungu tu!

So endapo Wasafi inafanikiwa na Clouds inafifia hatusemi kuwa Joe ndie anaua moja na kukuza nyingine!
Kubali kuwa Mondi ni nyota ing'aayo mno wakati huu hivyo kama Jose katia hela Wasafi "kama unavyofosi" hiyo haibadilishi kuwa Mondi ni nouma!! Mondi ni amefanikiwa sana kama kijana mdogo kabisa!!
fact Diamond platinumz BABA LAO
 
Back
Top Bottom