Wasafi TV, Yesu kawakosea nini? Kwanini mnamdhalilisha?

Quora uende wewe alafu uje kunishtaki mimi..Acha
Ni sawa tu na wewe kama aliyotukanwa yesu na nabii shillah alafu yesu mwenyewe katulia ila wewe kimbelembele chako unatutolea povu sisi,,, mtolee povu nabii shillah we mburukenge
 
Waliyotuletea hizo dini wenyewe wametulia tuli

Sisi tunaishia kupasuana

Ova

Wanaogombana ujue ni wajinga haijalishi uislamu au ukristo, dini ililetwa na waarabu na wazungu ili kufanikisha ajenda za utumwa na ukoloni kirahisi hivo ukiwaza sana wala haupati shida na mafundisho yanayotaka watu wawe wanyenyekevu kwa kila kitu bila kuhoji
 
Siku wajichanganye wamseme vibaya mtume wa deen ya HAKI watjua hawajui.
 
Ni sawa tu na wewe kama aliyotukanwa yesu na nabii shillah alafu yesu mwenyewe katulia ila wewe kimbelembele chako unatutolea povu sisi,,, mtolee povu nabii shillah we mburukenge
Hiyo sio kazi yangu,,kazi ya kutukana/kutisha watu wanaopractice uhuru wao wa kutoa mawazo ni ya waislam
 
Coment zako tu zinaonyesha una element za kichoko,, kutukanwa atukanwe yesu na nabii shillah povu ututolee sisi
Atakama shekhe ndo sasa umeipeleka kwenye ushoga? Ushoga si dhambi kabisa kwenye dini yenu au sio?
 
Et lawama wanapewa waislamu ,kumbe kuna watu wana makorokoro rohoni wanaficha tu mwisho wa siku wanataja vitu visivyo husiana na mada .
 
Atakama shekhe ndo sasa umeipeleka kwenye ushoga? Ushoga si dhambi kabisa kwenye dini yenu au sio?
Una element za kichoko,,, kwani wewe tatizo lako hasa ni nini? Mana huu uzi unamhusu nabii shillah na wasafi sasa wewe unaingiza vitu vingine hata visivyohusika,,
 
Una element za kichoko,,, kwani wewe tatizo lako hasa ni nini? Mana huu uzi unamhusu nabii shillah na wasafi sasa wewe unaingiza vitu vingine hata visivyohusika,,
sasa mimi kuingiza misikiti ndo imekufanya nawewe kuuingiza ushoga shekhe? unacceptable
 
Wajifunze kwa wanamuziki the beetles waliosema tu wao ni maarufu kuliko Yesu. Kuna orodha ndefu ya wasanii waliomkashifu Yesu waliyapata wasiotegemea.Wasafi wamwombe msamaha Yesu huko waliko.
Grow up aisee not you but your brain.

Kuna jamaa mmoja anajiita jesus christ youtube itafute channel yake, yule jamaa anavaa zile shuka kama yesu then anateleza na skateboard barabarani huku amepanua mikono kama yesu, watu hawamfanyi chochote zaidi ya kucheka tu. yuko new york nadhani.
Ni mzungu na new york wanaishi christians wengi zaidi, lakini huoni wakipiga hizi kelele na blah blah nyingine za kupakazia muslims.
considering wao ndio wameleta dini afrika.
Why sababu tayari akili zao zimeshakua kiasi cha kutosha kuweza kuelewa maana ya Dini na Imani, cha ajabu africans walioletewa ndio wapiga kelele kwa kujiona wao wanamjua mungu na dini zaidi ya walioileta.

Na hii thread imeonyesha kiasi gani watu walivyo wajinga na walivyokosa akili vilevile pia kushindwa kujielewa.

So mbona yule jamaa anayejiita jesus bado anadunda tu na maisha yake?
Hawa waliowaletea dini hawana habari nazo wanahangaika kutengeneza future na kuendeleza technology.

waafrika pekee walioletewa ndio bado wamewekeza kwenye Imani hakuna sababu ya kujiuliza kwanini ni masikini.
 
Duuh mhusika aje kulalamika au na wafuasi nao wanaruhusiwa kulalamika
 
Kutokea kwenu kina nani?

Nijibu hilo swali jepesi then niprove kwamba ulichoandika ni scam na unajiongopea mwenyewe.
Kushindwa kujibu hilo swali jepesi basi tayari utakuwa unaprove nilichoandika kabla sijaprove point yangu.
 
Unaongea (unaandika) kwa paniki sana mjumbe hebu tusaidie huyo mungu tunayepaswa kumwabudu waafrika ni yupi na tunamwabudu vipi (ukiacha kutenda matendo mema ya kila siku)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…