Wasafi TV, Yesu kawakosea nini? Kwanini mnamdhalilisha?

Chamsingi ni kwamba haina haja ya kubishana na mpumbavu na huyo kijana anahitaji maombi na tutamuombea na asichukijua ni kwamba unapo mtolea maneno machafu mtu mwingine sio kwamba unamvunjia heshima yake bali unajivunjia heshima yako
 
Huyo si ndio nabii shila sasa huyu nabii ana utimamu kweli,na kwenye kanisa lake watu wanamwamin na kumsikiliza kweli
 
Hapo angetajwa mtume kungekuwa na maandamano, huyo mtangazaji wa wasafi anapotosha kuhusu Imani ya kikristo, kwanini asijikite na mambo mengine atuachie Imani yetu, otherwise huyu ni mchochezi ka wachochezi wengine
Uzuri Yesu ni kama simba, simba hatetewi na mtu, Simba hujitetea mwenyewe kwa sauti na nguvu zake.
Mwacheni Yesu ajitetee mwenyewe...amshughulikie mwenyewe sisi yetu macho na masikio.
 
Kashke.ewa shila na mtumishi mmoja niliona anakemewa na kukoromewa
 
Hapo angetajwa mtume kungekuwa na maandamano, huyo mtangazaji wa wasafi anapotosha kuhusu Imani ya kikristo, kwanini asijikite na mambo mengine atuachie Imani yetu, otherwise huyu ni mchochezi ka wachochezi wengine
Jikite kwenye mada hayo ya mtume, Mtume hayahusiki hapa. Kumkejeli na kumuita mwizi ni kufuru inayohitaji kukemewa.Ku assume ni kupotezea mada na unafiki.Call a spade a spade.
 
wangekuwa wao hapo mhhh majini yangeshawapanda
Kwa hiyo kwa imani yako ni sawa Yesu kuitwa mwizi?Wacha udhaifu kemea ujinga na kejeli no matter inatoka wapi na inaelekezwa wapi!!
 
Wafuasi wa yesu Wana shida kichwani aliezingua ni mkristo mwenzao tena wanamuita nabii,vituko badala ya kumshambulia huyo nabii wao shila wanaushambulia uislamu kweli vituko haviishi [emoji23][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…