Wasafi wamelamba dume kumchukua Edo Kumwembe

Wasafi wamelamba dume kumchukua Edo Kumwembe

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Edo Kumwembe ni mchambuzi mzuri Sana wa soka na anawavutia watu wengi Sana na nilipenda sana awe na kipindi cha muda mrefu wa kufanya uchambuzi nashukuru Mungu amesikia ombi langu na soon atakuwa wasafi fm kwa ajili ya kuchambua michezo.Wasafi wamefanya Jambo la maana kumchukua huyu jamaa.

Nilivyoona picha ya pamoja ya Diamond na Edo Kumwembe wakionekana wapo nchini uingereza nikajua hapa kuna kitu na kweli Jana tukasikia Edo ameshasaini Wasafi fm tayari.

Namtakia kila la kheri Edo Kumwembe katika maisha mengine ya ufanyaji kazi.
 
Edo kumwembe ni mchambuzi mzuri Sana wa soka na anawavutia watu wengi Sana na nilipenda Sana awe na kipindi Cha muda mrefu wa kufanya uchambuzi nashukuru Mungu amesikia ombi langu na soon atakuwa wasafi fm kwa ajili ya kuchambua michezo.Wasafi wamefanya Jambo la maana kumchukua huyu jamaa.

Nilivyoona picha ya pamoja ya diamond na edo kumwembe wakionekana wapo nchini uingereza nikajua hapa Kuna kitu na kweli Jana tukasikia edo ameshasaini wasafi fm teyali.

Namtakia Kila la kheri edo kumwembe katika maisha mengine ya ufanyaji kazi.

Idhaa yake ni ngapi kama unaijua Ndugu?
 
Isije ikawa kama yale ya Zamaradi kusign WASAFI
 
Wasafi inaenda kuwa juu.

Ila Usikivu wake ni wa shida kama siyo wa taabu sana hebu aliye karibu nao hao Wasafi fm awataarifu juu ya hili kwani japo wamefanya huo Usajili Kabambe lakini wanaweza kukosa ' audience ' Kubwa kutokana na hii Kero ya hii Idhaa yao Kutosikika vizuri. Mimi mwenyewe imenibidi mpaka niweke Redio yangu Dirishani huku nikiinamisha ndipo angalau niweza kuyapata Matangazo yao.
 
Back
Top Bottom