Edo Kumwembe ni mchambuzi mzuri Sana wa soka na anawavutia watu wengi Sana na nilipenda sana awe na kipindi cha muda mrefu wa kufanya uchambuzi nashukuru Mungu amesikia ombi langu na soon atakuwa wasafi fm kwa ajili ya kuchambua michezo.Wasafi wamefanya Jambo la maana kumchukua huyu jamaa.
Nilivyoona picha ya pamoja ya Diamond na Edo Kumwembe wakionekana wapo nchini uingereza nikajua hapa kuna kitu na kweli Jana tukasikia Edo ameshasaini Wasafi fm tayari.
Namtakia kila la kheri Edo Kumwembe katika maisha mengine ya ufanyaji kazi.