Edo kumwembe ni mchambuzi mzuri Sana wa soka na anawavutia watu wengi Sana na nilipenda Sana awe na kipindi Cha muda mrefu wa kufanya uchambuzi nashukuru Mungu amesikia ombi langu na soon atakuwa wasafi fm kwa ajili ya kuchambua michezo.Wasafi wamefanya Jambo la maana kumchukua huyu jamaa.
Nilivyoona picha ya pamoja ya diamond na edo kumwembe wakionekana wapo nchini uingereza nikajua hapa Kuna kitu na kweli Jana tukasikia edo ameshasaini wasafi fm teyali.
Namtakia Kila la kheri edo kumwembe katika maisha mengine ya ufanyaji kazi.
89.9 dsmIdhaa yake ni ngapi kama unaijua Ndugu?
Bado DJ fetty, Gerald hando na Barbra hassan
89.9 dsm
Mbona Kwangu Mimi sikamati na nimeweka nasikia Kelele tu Ndugu? Una uhakika umenitajia Idhaa yao iliyo Kamili kabisa?
Ni 88.90 mkui
Arusha wasafi fm ipo?
Popoma katika ubora wakeMkiacha Kuvuta sana Bangi watayaleta huko Matangazo yao, ila kwa sasa wanasikika tu Mji wa Wastaarabu wa Dar es Salaam pekee.
Unapotaja Bangi..itaje kwa Heshima
Ndio akili yako ilipoishia?Mkiacha Kuvuta sana Bangi watayaleta huko Matangazo yao, ila kwa sasa wanasikika tu Mji wa Wastaarabu wa Dar es Salaam pekee.
Wasafi inaenda kuwa juu.