Wasafi wamelamba dume kumchukua Edo Kumwembe

Wasafi wamelamba dume kumchukua Edo Kumwembe

Kwa anayejua uchambuzi kitenge hakuna analojua yule ni ripota tu. Wachambuzi wazuri ni kina maestro kumwembe dauda dr leakey hao kina kitenge wawe watangazaji tu sio wachambuzi
 
Jamaaa anataka Tanzania nzima ziwe zinasikika redio zake tu, kaliteka soko la media houses na kila radio inawasikilizaji wa rika lake big up Joe
 
Mmh mbona Mawingu FM inauliwa sasa
 
Edo ni mzuri sana sana kwenye kuandika makala
Lakini kwenye uchambuzi wa kila siku ni wa kawaida sana

Kweli kabisa.
Wachambuzi wa Bongo wanafeli zaidi kwenye kutaka data ziwafuate badala watafute.
Kingine ni ushabiki wanaoweka hadharani wakati wa uchambuzi. Yaani akina Shafi bure kabisa.
Mchambuzi Bongo ni mmoja tu.
Dokta.
 
Back
Top Bottom