Wasafi yalambwa rungu jingine, Zuchu asababisha kupewa onyo kali na kutakiwa kuomba radhi pia kipindi chawekwa chini ya uangalizi

Hahahaha.. Alisema hivi .... Wewe una mtambo wewe[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Std 7 mpaka anapata ela basi ana skills ambazo graduates wengi hawana. πŸ˜€πŸ˜€
 
Kampuni ya wahuni inaendeshwa kihuni mwisho wa siku itafungiwa mazima, toka lini mhuni akafanya kazi kwa weledi?
 
Kwahiyo hiki kipindi huwa kinaruka live na watu wanaangalia kabisaa???kwanza uvaaji huo wa presenter wala sio wa kiungwana kwa jamii
 
Kwan hio interview ilikuwa live had washindwe kukiondoa hicho kipande?
 
Ila hawa jamaa wanapenda sana kutrend na mishe za kijinga
 
Std 7 mpaka anapata ela basi ana skills ambazo graduates wengi hawana. πŸ˜€πŸ˜€
Soma nilichoandika acha kushabikia sehemu ndogo eti STD 7 inaonekana una inferiority syndrome soma vizuri nilichoandika sio unakurupuka kuandika upupu mtakuja kufirika hivihivi kisa umeona jina diamond au STD 7 basi unaishia hapo utaolewa kijana wa kiume mwenye kitobo huzuni.

Sijakataa kwamba Hana hela na Hana kipaji Ila nimesema kwa hiyo STD 7 anahitaji sasa elimu kuweza kumanage hizo biashara zake

Kupata hela huwa sio tatizo anyone anaweza kupata Ila kuimanage miradi unayoanzisha baada ya kupata hiyo pesa ndio huwa changamoto.

Hata yeye kapata pesa sababu ya kuomba sio kufanya biashara, so sababu ameingia kwenye biashara na amewekeza pesa alizopata kwenye kuomba basi lazima aende kozi fupi za management asitegemee akina Babu take ambao anajikuta wanamuibia tu.
 
Narudia Std 7 kwa elimu hiyo hiyo akaweja jenga biashara na kupata mafanikio hayo, basi ana skills nyingi kuliko graduates.
By the way yeye ni CEO tu, pale kuna manager vipindi ambaye ni mwanadada mwenye elimu yake. Kama kuajiri kaajiri watu wengi tu wenye madegree yao wa kumsaidia.
 
Bakhresa ameajiri mpaka wazungu..
 
Tatizo wanatumia nguvu kubwa kuonekana wako juu ya clouds wakati ubunifu 0 Sasa ili waongelewe wanafanya mambo ambayo ni ya ajabu ajabu mwsho wanatoka katika mstari wa maadili kama chombo Cha habari
Wanaishia kuchezea rungu kila wakiinua shingo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…