STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
Labda wanachangamsha genge kutaniana, ukiwa serous sana hutaelewa chochote hapa [emoji1787][emoji1787]Tusi likowapi hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda wanachangamsha genge kutaniana, ukiwa serous sana hutaelewa chochote hapa [emoji1787][emoji1787]Tusi likowapi hapa
Hahahaha.. Alisema hivi .... Wewe una mtambo wewe[emoji3][emoji3][emoji3]Wasafi wakiwa bado na kidonda cha Nabii Shilla kuudhihaki ukristo na kupigwa faini, TCRA bado wanawalia timing na leo wametakiwa kuomba radhi kutokana na interview ya Zuchu kutumia 'lugha chafu ya matusi ya nguoni isiyo na staha' kwenye kipindi cha 'Refresh'. Pia kipindi hicho kimewekwa chini ya uangalizi.
Katika utetezi wake, Zuchu amesema ana mikataba inayomzuia kutumia lugha chafu na kudai inawezekana katika matamshi yake hakufungua mdomo wake vizuri na lafudhi yake ya kizanzibari alitamka neno mtambo vibaya na kusababisha tafsiri yenye utata.
PIA, SOMA=> Zuchu nimekusikia vizuri ama?
Std 7 mpaka anapata ela basi ana skills ambazo graduates wengi hawana. 😀😀Radio inaongozwa na STD seven aliyebahatika kupata hela na hataki kuweka uongozi wenye weledi na awaache wafanye kazi yao unatarajia nini?
Ningekuwa Yule kijana kwa sababu ameshajenga empire angetafuta kozi ndogondogo za management na leadership awe anaattend hata za wiki tatu tatu zitamsaidia kusimamia vema biashara zake.
Biashara anazofanya kwa sasa zinahitaji ajue ABCD za uongozi na utawala.
Dogo kazingua mbayaMbona nikiweka mtambo haiji inakuja lile tusi huyu zuchu vip
Kampuni ya wahuni inaendeshwa kihuni mwisho wa siku itafungiwa mazima, toka lini mhuni akafanya kazi kwa weledi?Wasafi wakiwa bado na kidonda cha Nabii Shilla kuudhihaki ukristo na kupigwa faini, TCRA bado wanawalia timing na leo wametakiwa kuomba radhi kutokana na interview ya Zuchu kutumia 'lugha chafu ya matusi ya nguoni isiyo na staha' kwenye kipindi cha 'Refresh'. Pia kipindi hicho kimewekwa chini ya uangalizi.
Katika utetezi wake, Zuchu amesema ana mikataba inayomzuia kutumia lugha chafu na kudai inawezekana katika matamshi yake hakufungua mdomo wake vizuri na lafudhi yake ya kizanzibari alitamka neno mtambo vibaya na kusababisha tafsiri yenye utata.
PIA, SOMA=> Zuchu nimekusikia vizuri ama?
Hili tusi hata JF unapigwa Ban
Mtoto atakuwa hajafundwa huyu anafikiri yupo kibarazani anapiga story na mashosti wake, katamka neno gumu mbele ya halaiki inayofuatilia kipindi.
Bado ni kitoto kinakuwa na ndo wanakikuza hivyo..😊Mbona nikiweka mtambo haiji inakuja lile tusi huyu zuchu vip
Soma nilichoandika acha kushabikia sehemu ndogo eti STD 7 inaonekana una inferiority syndrome soma vizuri nilichoandika sio unakurupuka kuandika upupu mtakuja kufirika hivihivi kisa umeona jina diamond au STD 7 basi unaishia hapo utaolewa kijana wa kiume mwenye kitobo huzuni.Std 7 mpaka anapata ela basi ana skills ambazo graduates wengi hawana. 😀😀
Narudia Std 7 kwa elimu hiyo hiyo akaweja jenga biashara na kupata mafanikio hayo, basi ana skills nyingi kuliko graduates.Soma nilichoandika acha kushabikia sehemu ndogo eti STD 7 inaonekana una inferiority syndrome soma vizuri nilichoandika sio unakurupuka kuandika upupu mtakuja kufirika hivihivi kisa umeona jina diamond au STD 7 basi unaishia hapo utaolewa kijana wa kiume mwenye kitobo huzuni.
Sijakataa kwamba Hana hela na Hana kipaji Ila nimesema kwa hiyo STD 7 anahitaji sasa elimu kuweza kumanage hizo biashara zake
Kupata hela huwa sio tatizo anyone anaweza kupata Ila kuimanage miradi unayoanzisha baada ya kupata hiyo pesa ndio huwa changamoto.
Hata yeye kapata pesa sababu ya kuomba sio kufanya biashara, so sababu ameingia kwenye biashara na amewekeza pesa alizopata kwenye kuomba basi lazima aende kozi fupi za management asitegemee akina Babu take ambao anajikuta wanamuibia tu.
Kwenye hiyo A itoe halafu uweke O...Mbona hilo neno sijasikia?? Au "MTAMBO" ni neno baya?
Bakhresa ameajiri mpaka wazungu..Soma nilichoandika acha kushabikia sehemu ndogo eti STD 7 inaonekana una inferiority syndrome soma vizuri nilichoandika sio unakurupuka kuandika upupu mtakuja kufirika hivihivi kisa umeona jina diamond au STD 7 basi unaishia hapo utaolewa kijana wa kiume mwenye kitobo huzuni.
Sijakataa kwamba Hana hela na Hana kipaji Ila nimesema kwa hiyo STD 7 anahitaji sasa elimu kuweza kumanage hizo biashara zake
Kupata hela huwa sio tatizo anyone anaweza kupata Ila kuimanage miradi unayoanzisha baada ya kupata hiyo pesa ndio huwa changamoto.
Hata yeye kapata pesa sababu ya kuomba sio kufanya biashara, so sababu ameingia kwenye biashara na amewekeza pesa alizopata kwenye kuomba basi lazima aende kozi fupi za management asitegemee akina Babu take ambao anajikuta wanamuibia tu.
Kwa hiyo kimeshaanza kufanya matusi na kaka zake!Bado ni kitoto kinakuwa na ndo wanakikuza hivyo..😊
Bakhresa ameajiri mpaka wazungu..
Dogo kazingua mbaya